Uwezo wake Nassari ni mdogo. Sijui kama ataweza kutekeleza ahadi. Wabunge wengi wa cdm wameshindwa kazi. Angalia mfano majimbo ya kawe na ubungo. Uozo mtupu hakuna maji, foleni za magari, nk. Angalau ZK amefanya kazi ya kuonekana.
hakika mkuu!!!!!!!!cdm inahitaji sasa kujikita vijijini sana,pia ikiwezekana tv na redio vizinduliwe mapema ili wananchi wengi zaidi waweze kufikiwa
Vipi Zitto???
uwezo wake nassari ni mdogo. Sijui kama ataweza kutekeleza ahadi. Wabunge wengi wa cdm wameshindwa kazi. Angalia mfano majimbo ya kawe na ubungo. Uozo mtupu hakuna maji, foleni za magari, nk. Angalau zk amefanya kazi ya kuonekana.
Katika mkutano wa leo mbowe ametoboa siri ya mafanikio ya CHADEMA kuwa ni umoja walionao katika uongozi wao huku wabunge wao wakiwa tayari kutumika katika ujenzi wa chama hicho. Amewaomba wameru wasishangae kumuona Nasari akiwa Lindi au Mtwara katika shughuli za ujenzi wa Taifa kwani mbunge wa Chadema ni mbunge wa Taifa. Hayo aliyasema kukiwa na mvua kubwa iliyoendelea katika mkutano wa shukrani kwa Wameru kukichagua Chadema katika viwanja vya Leganga USA leo jioni.
hongera kamanda mbowe kwani nina taarifa ulitumia gari lako kukimbiza gari la ccm lenye kura feki.hii sio kazi ya mwenyekiti wa chama lakini kama mwenyekiti umeonyesha umuhimu wa kuwa front line.
bg up kamanda,2meanza na mungu 2namalza na mungu. Cdm hamna wabunge ucngzi ni wabunge chapakaz
kudos to CHADEMA, Hakuna majungu, yaliyosemwa na mheshimiwa Mbowe can be witnessed na kila mtu aliyefuatilia chaguzi za udiwani pamoja na ya kuwania kiti cha ubunge arumeru, Sasa iliyobaki ni kutekeleza yale yote mliyoahidi wananchi kuhakikisha mnaenda beyond their expectation...
Chezea ZITTO weye...Katuunganisha wana CDM Mwanza kwenye kinyang'anyiro cha udiwani kata ya Kirumba...mwanzo mwisho na tukaibuka kidedea.
Mh.mbowe na timu nzima ya cdm Mungu awalinde,ninawaombea muwe na afya njema na nguvu. Mkaepushwe na maradhi ili tupambane kuokoa nchi yetu.pia poleni kwa mvua ya jana.niliamini watu tunakipenda chama chetu,maan ile mvua hatukukimbia uwanjani! Peoplezzzzzzzzz............Aluta continua