Wale vichenchede wa CCM waliokuwa wapo busy kusema CHADEMA haimtumii Zitto Arumeru mbona wamekimbia?
Wanafikiri CHADEMA ni sawa na CCM, hakuna mpangilio!!
CHADEMA ilijipanda na wabunge wake wakapewa majukumu, Zitto akiongoza mapambano Mwanza..........Ile kata ya mwanza ilikuwa sawa na mapambano ya Ubunge!!!
Vichwa vingine vilikuwa Liziboni na Kiwira, vingine Vijibweni........
Sio CCM wao kuanzia mwenyekiti mstaafu mpaka mpiga taarabu wanarundikana sehemu moja!!
Naomba kutoa wazo, kwa nini yule Mbunge na waziri ambaye ofisiyake ipo magogoni asihamishiwe makumbusho ya taifa?
1) ni mzee sana
2) is full of old nonsense
3) Mbea huyoooo...balaaa
4) anafanana na nalilii wale wa kule game reserve ya nanilii
5) Tungependa afanyiwe analysis kwa kutumia carbon 14 tujue how far back aliachana na ndugu zake kule naniliu yeye akaja town!!