Mbowe asitumie ukubwa wa jina lake kushinda uchaguzi CHADEMA

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Wanachama wengi wa chadema wanamwangalia mbowe kwenye mazuri aliyofanya tu bila kuangalia sehemu alikoshindwa kama

1: Kushindwa kuchukua hatua kali za kichama kupinga kuzuiwa kwa mikutano na mahandamano ya vyama vya siasa.

2: Kutokuwa na ofisi za kujenga majengo mengi wanapanga nilitegemea wawe na makao makuu dodoma.

3: Kuwa na active member wa kudumu kila kijiji wanaochangia chama.
4: Mbowe aeleze kwa nini chadema uwa kinapa hati chafu/mashaka kila mwaka?

5: Kwanini mtu akimkosoa mwenyekiti ni kosa ndani ya chadema?

6: Kwanini wabunge uwa wanachangishwa laki 5 kila mwezi kwa lazima ndandi ya chadema?

Kiufupi mbowe anatakiwa kujibu mambo mengi sana kabla ajaeleza kwanini anautaka tena uwenyekiti taifa.
 
technically, DJ hakuna wa kumuuliza wala kumuhoji, lvi ninani anaweza kumhoji mwenye chama? Hakuna Nyumbu hata mmoja mwenye ujasiri wa kuhoji chochote. Kama DJ aliweza kuchukua fedha na kumsajili maMvi waliye mwita Fisadi hakuna aliyeweza kumzuia nani anaweza sasa ? Lakushangaza ata Lisu aliyea andaa/andika waraka wa mafisadi alibaki akijichekesha kama Zuzu uku akimpokea aliye mwandika siku zote kua ni fisadi na kulamba viatu vya mamvi.
 
Mkuu kwa siasa za Bongo nakushauri tu kama hauna la kufanya na una uwezo basi wasaidie waliokuzunguka tu.. tofauti na hapo ni kupoteza muda wako tu..., saidia pale unapoweza kwa uwezo wako bila kutegemea hizi political parties...
 
Sumaye
Katanagaza kugombea Uenyekiti Taifa.

Matokea take kafanyiwa figisu hadi uenyekitiki wa kanda kaukosa chezea Mbowe wewe.!
 
Nawe sema nguruwe wa kijani mmemaindi mlivoona mbowe kachukua fomu maana unajua lazima atashinda.Sasa wewe inakuuma nini?
1.mbona ccm inampa mtu uenyekiti kwa kigezo cha urais?kwa nini hakiruhusu yeyote yule agombee.

Ccm inafisadi mali za umma na wote tunajua.Mgufuli anakitumia chama kama toilet paper nani hajui hilo.
 
There is no free and fair elections in Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
 
Unakumbuka mkapa alisema nini kuhusu EPA?
DJ hakuna wa kumuuliza wala kumuhoji, lvi ninani anaweza kumhoji mwenye chama? Hakuna Nyumbu hata mmoja mwenye ujasiri wa kuhoji chochote. Kama DJ aliweza kuchukua fedha na kumsajili maMvi waliye mwita Fisadi hakuna aliyeweza kumzuia nani anaweza sasa ? Lakushangaza ata Lisu aliyea andaa/andika waraka wa mafisadi alibaki akijichekesha kama Zuzu uku akimpokea aliye mwandika siku zote kua ni fisadi na kulamba viatu vya mamvi.
 
technically, Tech, Mimi nakuamini sana. Mbina unakuwa tifauti na wengine? Katika mazingira haya ya MTU kuua upinzani, mkibadirisha uongozi wa juu mmekwisha, chadema imekwisha. Ngoja Jiwe spite, then kweli Mbowe et all wapishe wengine. Msidanganywe na ccm, walk in mbuyu mmoja anatoka mwenzao anaingia mwenzao ambaye wanajua fika atalinda maslahi yao. Nami ningelipenda Mbowe apumzike, lakini kwa hali hii ya Jiwe hapana.
 
Sumaye
Katanagaza kugombea Uenyekiti Taifa.

Matokea take kafanyiwa figisu hadi uenyekitiki wa kanda kaukosa chezea Mbowe wewe.!

Inakuwaje Sumaye kukosa kura iwe figisu? Mbona hamuishiwi maneno kwa Chadema?
Jaribuni kufata yenu maana kila la Chadema lazima mligeuze
 
Wanachama wengi wa chadema wanamwangalia mbowe kwenye mazuri aliyofanya tu bila kuangalia sehemu alikoshindwa kama

1: Kushindwa kuchukua hatua kali za kichama kupinga kuzuiwa kwa mikutano na mahandamano ya vyama vya siasa.

2: Kutokuwa na ofisi za kujenga majengo mengi wanapanga nilitegemea wawe na makao makuu dodoma.

3: Kuwa na active member wa kudumu kila kijiji wanaochangia chama.
4: Mbowe aeleze kwa nini chadema uwa kinapa hati chafu/mashaka kila mwaka?

5: Kwanini mtu akimkosoa mwenyekiti ni kosa ndani ya chadema?

6: Kwanini wabunge uwa wanachangishwa laki 5 kila mwezi kwa lazima ndandi ya chadema?

Kiufupi mbowe anatakiwa kujibu mambo mengi sana kabla ajaeleza kwanini anautaka tena uwenyekiti taifa.
Prof majalala anakushangaa
IMG_20191128_200219.jpeg
 
Tech, Mimi nakuamini sana. Mbina unakuwa tifauti na wengine? Katika mazingira haya ya MTU kuua upinzani, mkibadirisha uongozi wa juu mmekwisha, chadema imekwisha. Ngoja Jiwe spite, then kweli Mbowe et all wapishe wengine. Msidanganywe na ccm, walk in mbuyu mmoja anatoka mwenzao anaingia mwenzao ambaye wanajua fika atalinda maslahi yao. Nami ningelipenda Mbowe apumzike, lakini kwa hali hii ya Jiwe hapana.
Hoja mufu Sana hii..

Kwahiyo mkuu unataka kutuaminisha kuwa Wanachama wote wa CDM nchi nzima hakuna Mwenye uwezo wa kuongoza Chama mbadala wa Mbowe?

Je Ni lini mubadala wa Mbowe utapatikana Na usipo patikana Hatima ya Mbowe kuwa mwenyekiti itakuwa lini?

Kama mtu tu wa kuongoza Chama Amekosekana Hadi mmeamua kuvunja demokrasia. Je Wakuongoza Nchi hii 2020 ndo Atapatikana kweli?

"Chadema wote Ni Marofa" BW mkapa(2015).
 
Back
Top Bottom