MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,484
- 20,437
Wahuni walichukua, sio Ccm. Ila walifikishwa mahakamani.Mkapa alisema CCM walichukua fedha za EPA . Vyama vya upinzani hawana fursa hiyo
Hakukikopesha Chadema ni deni hewa la mdomoni. Bil nane na ushee.Ni aibu mwenyekiti wa chama kukikopesha chama kisha kukidai kwa liba kubwa hivyo,
Mbowe kakosea sana,
Anadidimiza chama bila kujua
EPA ni jibu tosha. Kama unataka nyongeza kuna deep green, merereta na nyingine. Unapoandika jifunze kuiweka akili yako kwenye ubongo ili ueleweke, usiweke sehemu ya kukalia.Mbowe akiacha ukaidi anaweza kupata nafasi ya kufanya internship ya miezi 6 pale Lumumba au Dodoma .
Katika mafunzo hayo pamoja na ile kugugusana mabega na JPM, Mangula, Polepole na Bashiru kila siku kitamsaidia sana katika kujifunza njia mpya na mbinu kadhaa CCM walizozitumia kuiongeza Tanzania kwa miaka 50 ijayo.
1. Umuhimu wa uenyekiti kuachiana nafasi ,uenyekiti isiwe ajira yako ya kudumu. Tafuta kazi ya kukuingizia kipato.
2.Kuheshimu wanawake wote ndani ya ofisi ya chama. ( Maana wao ni mabinti zetu, dada zetu na mama zetu) .Tusitumie mwanya huu kuwafadhaisha nafasi zao, kuwashikashika nk.
3. Kuheshimu hela za chama. CCM upamde huu wamepiga hatua sana. Huwezi hata siku moja JPM amekikopesha chama na kukidai siku ya mwisho. Yaani huwezi kusikia Magufuli katoa mili 30 kukodi helkopta halafu mwisho wa siku unakidai chama bilioni 2.
4. Kujifunza njia nzuri kudeal na mivutano midogomidogo ya chama na sio kuchezea breki za wabunge wako au kulipa madereva wa wabunge .
Mbowe akiacha ukaidi anaweza kupata nafasi ya kufanya internship ya miezi 6 pale Lumumba au Dodoma .
Katika mafunzo hayo pamoja na ile kugugusana mabega na JPM, Mangula, Polepole na Bashiru kila siku kitamsaidia sana katika kujifunza njia mpya na mbinu kadhaa CCM walizozitumia kuiongeza Tanzania kwa miaka 50 ijayo.
1. Umuhimu wa uenyekiti kuachiana nafasi ,uenyekiti isiwe ajira yako ya kudumu. Tafuta kazi ya kukuingizia kipato.
2.Kuheshimu wanawake wote ndani ya ofisi ya chama. ( Maana wao ni mabinti zetu, dada zetu na mama zetu) .Tusitumie mwanya huu kuwafadhaisha nafasi zao, kuwashikashika nk.
3. Kuheshimu hela za chama. CCM upamde huu wamepiga hatua sana. Huwezi hata siku moja JPM amekikopesha chama na kukidai siku ya mwisho. Yaani huwezi kusikia Magufuli katoa mili 30 kukodi helkopta halafu mwisho wa siku unakidai chama bilioni 2.
4. Kujifunza njia nzuri kudeal na mivutano midogomidogo ya chama na sio kuchezea breki za wabunge wako au kulipa madereva wa wabunge .
Hizi propaganda zingine muwe mnafikiria kuziweka front of majority, sasa hii thread gani! Mtu na akili zako unaleta kitu cha kijinga hivi! Wewe mgogo nini!
Ni aibu mwenyekiti wa chama kukikopesha chama kisha kukidai kwa liba kubwa hivyo,
Mbowe kakosea sana,
Anadidimiza chama bila kujua
Wahuni walichukua, sio Ccm. Ila walifikishwa mahakamani.
Hakukikopesha Chadema ni deni hewa la mdomoni. Bil nane na ushee.
Sasa hivi Jamiiforums imesimama hivi;
AKILI KUBWA 17%
UJINGA 55%
BORA LIENDE TUU 28%
Na hili kundi LA UJINGA linafanya linajuhudi kubwa maana wengi wao wako kazini kwa malipo na ndio wameiharibu JF na sio tena home of great thinkers.
EPA ni jibu tosha. Kama unataka nyongeza kuna deep green, merereta na nyingine. Unapoandika jifunze kuiweka akili yako kwenye ubongo ili ueleweke, usiweke sehemu ya kukalia.
Huu ni ukichaaa yaani mbowe akajifunze uongoz lumumbaMbowe akiacha ukaidi anaweza kupata nafasi ya kufanya internship ya miezi 6 pale Lumumba au Dodoma .