Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
- Thread starter
-
- #41
Mkuu hilo nimelifananisha na Abramovich huwa havai sare ya Chelsea..ndivyo ilivyo kwa Lowassa.Eduadi lowasa ananikela jambo moja tu ukumbi mzm wamevaa uniform za cdm na kofia yeye havai hata kitambaa cha cdm mkononi.. Yeye anaingia kama alivyo na anatoka kama alivyo.... Hilo kiukweli linanikela sana..
Vipi umempenda katibu mpya?Wewe umetoka kunywa KAYOGA asubuhi yoote hiii?
Kijana simu yako itakuwa na matatizo.Punguzeni basi kula viporo maana mnatujazia harufu hapa jukwaani
Lowasa ndio Malaya wa kisiasa....Hawa jamaa sijui tuwaite malaya wa siasa?lkn siyo kosa lao maana ndio wanatumikia usaliti
Shida yake ni urais tuEduadi lowasa ananikela jambo moja tu ukumbi mzm wamevaa uniform za cdm na kofia yeye havai hata kitambaa cha cdm mkononi.. Yeye anaingia kama alivyo na anatoka kama alivyo.... Hilo kiukweli linanikela sana..
Lakin vp MKUU kwa kuwa ni kijana wa mh.lowassa hastahili kuwa KATIBU.?kila mwenye akili timamu anajua kuwa katibu mkuu wa sasa wa chadema ni kijana wa Lowasa wa mda mrefu sana.
Chuki kivipi mkuu?mbona mambo ni dhahiri.Haitoshi kusikia, utafiti ni muhimu, tuache siasa za chuki
Dr Dau katoswa kutoka nssf sasa tutajua ni kwa kazi zipi lekadutigite ilililpwa mamilioni na yalienda wapiLowasa ndio Malaya wa kisiasa....
Hili fupa litaisumbuwa chadema na wengi watakata tamaa...CCM waliruka kihunzi.kila mwenye akili timamu anajua kuwa katibu mkuu wa sasa wa chadema ni kijana wa Lowasa wa mda mrefu sana.
Ulitaka wewe ndio uwe kijana wake siyo?kassimu mkubwa wewekila mwenye akili timamu anajua kuwa katibu mkuu wa sasa wa chadema ni kijana wa Lowasa wa mda mrefu sana.
Mkuu mmawia unapanik.Ulitaka wewe ndio uwe kijana wake siyo?kassimu mkubwa wewe
Mkuu, kwani umehama lini ACT?Kijana simu yako itakuwa na matatizo.
Nipe mtazamo wako kuhusu katibu mpya.....naona amemuacha kwa mbaaali kielimu sultan MboweDr Dau katoswa kutoka nssf sasa tutajua ni kwa kazi zipi lekadutigite ilililpwa mamilioni na yalienda wapi
Hivi kwa nini Laigwani havai sare zetu za chama?....nakumbuka kule mapinduzini alikuwa anavaaUlitaka wewe ndio uwe kijana wake siyo?kassimu mkubwa wewe
Muda ndio jibu sahihi dogo....mwaka 2011 mlipoambiwa EL/Mbowe wanamakubaliano ya siri na baadaye mwaka jana July Lizabon alidadavua kuuzwa kwa chadema mlikuja na kauli fupi fupi hivihivi...sikio la kufa......!Kasled kana harufu ya choo!
Ivi ulijifungia wapi pindi unakaandika!?
Mmfuuuuu
Awamu hii Lumumba mmekatwa ngebe. Angechaguliwa wa kaskazini mngeanza mipasho yenu ya chagga empire!
Kaletwa mvuvi na mla sato mara oooh mtu wa Lowassa huyooo!!
Wakudadavua you simply talking sh!t
Dr Mashinji chapa kazi mjomba!
Usitusumbue na English yako hujui kuwa Mimi ni I'm the politicians (in magu tone)CDM is increasing at decreasing rate