Mbowe asalimu amri kwa Lowassa

Watakuwa wametoka kuamka mkuu, mie hapa napata mpaka kiharufu cha viporo vya uagali wa jana kupitia simu yangu.
Kijana kiporo ni kiporo haijalishi ugali,wali,nyama nk...tunahitaji mchango wako wa hoja sio viroja.
 
Kwa asiyeona haya atakuwa kipofu,huyo katibu mkuu nani alimtarajia?haya kama ulivyosema tuweke akiba ya maneno
 
Alichosema wa kudadavua ni kweli kabisa Edo ni mjanja mno na wote waliomsema vibaya atawatosa tu.
 
Tatizo Ni kuwa zama hizi kila mtu Ni political analyst muone mtoa mada anavoingilia fani za akina Bashiru Ally.
 
Eduadi lowasa ananikela jambo moja tu ukumbi mzm wamevaa uniform za cdm na kofia yeye havai hata kitambaa cha cdm mkononi.. Yeye anaingia kama alivyo na anatoka kama alivyo.... Hilo kiukweli linanikela sana..
 
Tatizo Ni kuwa zama hizi kila mtu Ni political analyst muone mtoa mada anavoingilia fani za akina Bashiru Ally.
Tunaongea yaliyo dhahiri kama ulivyofuatilia mkutano,vyanzo na mienendo ya waliotemwa...sio uchambuzi mkuu,pili jenga utamaduni wa kuelewa hoja na sio kuangalia mtu ndio maana mnapotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…