Mbowe apewe heshima yake anayostahili!!

Mbowe apewe heshima yake anayostahili!!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,153
Reaction score
48,396
Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.

Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida yake.

Mimi nakubaliana na wale wanaosema kuwa baada ya Mbowe kukaa madarakani CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20, Kuna mambo alianza kutoyapa umuhimu na umakini wake kwenye kusimamia mambo ya msingi ulipungua.

Lakini ukweli lazima usemwe, CHADEMA hii ya sasa ina mchango mkubwa sana wa juhudi za Mbowe kuifanya iwe imara.

Wengine tunaomfahamu Mbowe tangu mwaka 2004 tunajua ni kwa kiasi gani amepambana kuifanya CHADEMA iwe hivi ilivyo.

Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni wafuasi wake!

Kama tunaona Mbowe hakuna jema alilolifanya ndani ya CHADEMA, Iko siku na Lissu naye tutamdharau hivi hivi tunavyomdharau Mbowe.

Tukubaliane tu kwamba ni watu wachache sana waliopambana kama Mbowe ndani ya CHADEMA wakati akiwa kiongozi. Mbowe apewe heshima yake!
 
alimaliza vibaya
 
Tofauti ya Mwamba Mbowe na viongozi mlionao ni kichuguu na Mlima.Tatizo kubwa ni kwamba wengi wanaoishabikia Chadema ni vijana clueless wasiojua historia na sacrifice alizopitia Mbowe kwenye kuijenga Chadema.Wengi ni wafuata upepo waliokumbwa na upepo wa Uchaguzi wa Chadema.
Ni vigumu kwao kujua ukweli bali ushabiki na matusi.Na hali hiyo ilisababishwa na matusi kwenye Kampeni.Makovu ya Uchaguzi yameleta madhara makubwa badala ya kujenga umoja.
 
Umeshindwa kabisa kutofautisha kati ya mtu anayestahili heshima anapaswa aweje?

Anaye mdharau Mh Mbowe atakuwa hajielewi, hata hivyo, heshima ya Mbowe itategemea na anavyoenenda tokea aache kukiongoza chama

Mtu uongeze genge la kuharibu ulichojenga, utahitaji heshima ya nani zaidi ya kudharaulika

Heshima haiombwi mkuu
 
Una ushahidi wa hizi tuhuma au ni speculations tu.?Kwa sababu anayeleta tuhuma ndio ana wajibu wa kuthibitisha. Umemsikia Mwamba akisema lolote?
 
Mbowe anafeli wapi ujue?
Ameacha au kususa kufanya uongozi mpya ujipambanie bila yeye kusaidia.

Yeye akiwa ndani viongozi wenzake walipambana huku nje
Mojawapo ya madai yaliyokuwa yakisemwa sana Mbowe akiwa Mwenyekiti ni kwamba aachie ngazi akampumzike.Akaingia kwenye uchaguzi akashindwa kwa kura thelathini na ushee.Akakubali kushindwa. Akaenda kupumzika.
Wenyewe mlidai mnajitosheleza kawaachia Chama mnamlaumu?
You cannot have your cake and eat it too
 
Sasa chama hakiendeshwi hivyo unavyo fikiri wewe.
 
Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.

Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida yake.

Mimi nakubaliana na wale wanaosema kuwa baada ya Mbowe kukaa madarakani CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20, Kuna mambo alianza kutoyapa umuhimu na umakini wake kwenye kusimamia mambo ya msingi ulipungua.

Lakini ukweli lazima usemwe, CHADEMA hii ya sasa ina mchango mkubwa sana wa juhudi za Mbowe kuifanya iwe imara.

Wengine tunaomfahamu Mbowe tangu mwaka 2004 tunajua ni kwa kiasi gani amepambana kuifanya CHADEMA iwe hivi ilivyo.

Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni wafuasi wake!

Kama tunaona Mbowe hakuna jema alilolifanya ndani ya CHADEMA, Iko siku na Lissu naye tutamdharau hivi hivi tunavyomdharau Mbowe.

Tukubaliane tu kwamba ni watu wachache sana waliopambana kama Mbowe ndani ya CHADEMA wakati akiwa kiongozi. Mbowe apewe heshima yake!
Kutengeneza jina inachukua muda mwingi lakini kuliharibu ni sekunde chache,

vile Vile binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri
 
Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake.

Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida yake.

Mimi nakubaliana na wale wanaosema kuwa baada ya Mbowe kukaa madarakani CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20, Kuna mambo alianza kutoyapa umuhimu na umakini wake kwenye kusimamia mambo ya msingi ulipungua.

Lakini ukweli lazima usemwe, CHADEMA hii ya sasa ina mchango mkubwa sana wa juhudi za Mbowe kuifanya iwe imara.

Wengine tunaomfahamu Mbowe tangu mwaka 2004 tunajua ni kwa kiasi gani amepambana kuifanya CHADEMA iwe hivi ilivyo.

Pamoja na mitizamo yetu dhidi yake, lakini tumheshimu yeye kama binadamu na mtu aliyechangia sana uimara wa CHADEMA hii ambayo sote ni wafuasi wake!

Kama tunaona Mbowe hakuna jema alilolifanya ndani ya CHADEMA, Iko siku na Lissu naye tutamdharau hivi hivi tunavyomdharau Mbowe.

Tukubaliane tu kwamba ni watu wachache sana waliopambana kama Mbowe ndani ya CHADEMA wakati akiwa kiongozi. Mbowe apewe heshima yake!
Tusipangiwe cha kufanya ,akizingua tunamzingua pia, naheshimu mada yako mtoa mada, ila Mbowe asituzingue period
 
Mbowe ni mwanasiasa mwenye utulivu,hekima ,busara,maarifa hana uroporopo
 
Mojawapo ya madai yaliyokuwa yakisemwa sana Mbowe akiwa Mwenyekiti ni kwamba aachie ngazi akampumzike.Akaingia kwenye uchaguzi akashindwa kwa kura thelathini na ushee.Akakubali kushindwa. Akaenda kupumzika.
Wenyewe mlidai mnajitosheleza kawaachia Chama mnamlaumu?
You cannot have your cake and eat it too
Mbowe alikamatwa kwa ugaidi, Lissu akiwa hoi hospitali hakukaa kimya. Mdude labda ameshauawa, ila Mbowe hajali kabisa

Leo Lissu anataka kunyongwa makengeza utafikiri kafa, hasemi chochote. Kwahiyo kutetea haki siku hizi mpaka uwe na cheo???

Genge lake limepora mpaka akaunti za mitandao ya kijamii ya chama, yuko kimya na makengeneza yake.

Mbowe ni tapeli na alikuwa anaendesha CDM kama kampuni yake binafsi, na huko aliko anatamani kabisa Chama kife ionekane bila yeye mambo hayaendi.

Tapeli la kimachame
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom