Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,410
hapo mbowe anataka kumfanyaje mke wa mtu ???
Mkuu, ndani ya CDM, wake za watu ni halali yao. ukiona kiongozi au mfuasi wa CHADEMA, weka mbali mke wako
hapo mbowe anataka kumfanyaje mke wa mtu ???
mungu akijaalia baadaye ningependa awe tundu lissu mkuu.Huwa napata shida sana nikimfikiria mrithi wa Mbowe
Mkuu, ndani ya CDM, wake za watu ni halali yao. ukiona kiongozi au mfuasi wa CHADEMA, weka mbali mke wako
kilichosaidia CDM kufika hapa ilipo ni kushindikana kuwafarakanisha hawa viongozi wakuu wa CDM, kwa kutumia mbinu mbalimbali zikiwemombowe ni zaidi ya kiongozi ndani ya chadema....viatu vyake vime mtosha..Glory glory Chadema.
afe tuuuu, kwani ye nani??? wamekufa watu wa maana sembuse mjasiriamali wa siasa bana
Pompo, wala usimtetee Mbowe. yeye alimuua CHACHA WANGWE, na yeye ipo siku atakufa tu. iwe kwa ajali au kuumwa
Mbowe kasema kinachomhusu na Ponda nae atasema kinachomhusu,kwani umeambiwa Mbowe ndo msemaji wa Ponda?sasa Mbowe anadanganya watu ili aonewe huruma? yeye kama amenusurika kufa Ponda naye atasemaje?
Abarikiwe sana Mwenyekiti Mbowe... Ingawa anaongoza mapambano ya CDM kuingia ikulu, lakini ni wazi kwamba ameongoza vyema harakati za upinzani nchini. Hata kama CDM haitaingia ikulu, au hata kama yeye hatashuhudia ikiingia ikulu, lakini historia itabaki kuwa alikuwa mmoja wapo wa viongozi mahiri wa upinzani aliyewahi kutokea Tanzania hadi sasa...
Nchi inakuwa na raisi mmoja tu kwa wakati mmoja, lakini inakuwa na viongozi wa vyama vya upinzani kadhaa wakati wowote... Kwa sasa, na kwa historia ya nchi hii, Mbowe ndiye kinara kati ya wenyeviti wa vyama vya upinzani zaidi ya 18. Pamoja na kuwapo na wenye elimu kubwa sana zaidi yake, Mbowe amewapiku wote na kudhihirisha kipaji kikubwa cha kuongoza alicho nacho.
Namuombea maisha marefu na afya njema, ili siku moja apate nafasi ya kushuhudia kwa macho yake mabadiliko yale ambayo amekuwa akitapigania.
Viva Mwenyekiti wa ukweli...
Du mimi ni hii Signature yako tuuhapo mbowe anataka kumfanyaje mke wa mtu ???
Sasa Africa na hiyo habari hapo juu vinahusianaje?
Siasa za Jembe ne Nyundo ndo hatari, maana hata ile itikadi ya wakulima na wafanyakazi haizungumziwi kabisa siku hizi.
Ni mwendo wa madawa ya kulevya na biashara haramu tu!
Huwa napata shida sana nikimfikiria mrithi wa Mbowe
Huwa napata shida sana nikimfikiria mrithi wa Mbowe