Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Du mimi ni hii Signature yako tuu
unafanya ziara jimboni kwa helikopta halafu unawachangisha wananchi mia mia zao eti unajenga chama, wizi mtupu!!!!!!!!
yaani BABANGU nakomaGA kabisa kuijua Siasa kumbe ni biashara!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mtu ukimpa tisheti na kofia na akinamama ukiwapa Khanga ikifika siku ya kupiga kura hawezi kukupigia kura atakwenda kupiga atakwenda kuchagua atakapo! Yani huo ndo ukweli! Lakini mtu akikuchangia japo ata kama ni coin" siku ya uchaguzi lazima akamchague yule aliemchangia! Hawezi kabisa kuharibu kula Yake kwa kuchagua mtu tofauti huu ni Ukweli usiopingika ni sawa na kiongozi alieingia madarakani kwa kununua uongozi na kusapotiwa kifedha na matajiri, akiupata uongozi kazi Yake kubwa itakua ni kujilipa na kulipa fadhila za hao waliomuwezesha kupata uongozi na si kuwatumikia wananchi Na maslahi ya inchi! Hapo ndipo wanakuja sasa kua na majina ya Mafisadi na utawala usio wa haki sawa! Na kukandamiza wanyonge na kuzima sauti za watetezi wa haki kwa nguvu kwa kutumia dola na hata kumwaga damu! Tujaribu kuyatafakari maneno mazuri ya Waziri mkuu mstaafu Mh Fredriki Sumaye anayosema juu ya wanasiasa wanaoingia ikulu kwa fedha na Ndio hao wanaozuia wanasiasa wenzao wasiingie ikulu kwa mtutu wa Bunduki! Viva Chadema