Mzenjiberi
Member
- May 30, 2012
- 25
- 3
Afe tu , awapishe vijana kwenye uongozi , wapiganaji wa kweli kama zito kabwe
NTUZU kwetu ni ndoto za mchana Mytopia
Kiongozi gani wewe amekuchangia? au n i wewe unayetoa. Kaa ufahamu sio wote wanafuata Itikadi yako wewe chagua umependae na hulazimishwi kwa vile mm nimepewa Khanga na Kofia.
- Lakini mtu akikuchangia japo ata kama ni coin" siku ya uchaguzi lazima akamchague yule aliemchangia! Hawezi kabisa kuharibu kula Yake kwa kuchagua mtu tofauti
Ni Kiongozi gani wa Siasa ambaye hana pesa au ni msafi unayemuona bora aende Ikulu
- Tujaribu kuyatafakari maneno mazuri ya Waziri mkuu mstaafu Mh Fredriki Sumaye anayosema juu ya wanasiasa wanaoingia ikulu kwa fedha na Ndio hao wanaozuia wanasiasa wenzao wasiingie ikulu kwa mtutu wa Bunduki!
MBOWE na SUMAYE wamekopa mamilioni huko kwenye Mifuko ya jamii na Kesi zao zipo zinaminywaminywa leo unatuletea Siasa za kushikiliwa kichwa majukwaani eti kuna watu wanafadhiliwa na matajiri ili waingie Ikulu ( CCM, CHADEMA, CUF vyote vina viongozi matajiri wanaoviongoza na pia wanaofadhiliwa na Nchi za Nje)
Hebu rudi tena kwa ufasaha na ndoto zako za Helkopta
wewe bado ni mtoto kwa siasa za TZ na akili yako ni ya kushikiwa. sisi tunachangia NSSF na tumeona Wazazi wetu hawakulipwa angalau hata riba ya hele waliochanga/kucnhangiwa na mwajiri wewe unaleta ushabikiHoja yako ni nyepesi sana na inaonesha ni jinsi gani umeguswa na maelezo yng! Acheni kutoa takrima za Khanga na tisheti na kofia! Na pia maneno ya Mh Fredriki Sumaye ni mwiba sn Kaeni maana hamuyapendi Kama ukoma! Na pia Kama mnaushaidi na hayo Madai yenu kwanini msiende mahakamani mumshitaki.Mbowe Kamanda wa ukweli, maana Kama ingekua ni kweli mngekua tayari mmeshpeleka mahakamani maana Lwakatare ushahidi wa You Tube Tayari mkamtia ndani!
Haijafika siku yake huyo
wewe bado ni mtoto kwa siasa za TZ na akili yako ni ya kushikiwa. sisi tunachangia NSSF na tumeona Wazazi wetu hawakulipwa angalau hata riba ya hele waliochanga/kucnhangiwa na mwajiri wewe unaleta ushabiki
Umeambiwa wapi wanashtakiwa hawa watu, wewe km Khanga hutaki kachangie hivyo vi-100 vyako lakini hutapunguza utajiri wao. Nakushauri katafute ugali ule ya Dunia huyawezi kwani huna ubavu wa kupewa hata senti ya Mifuko ya Hifadhi ya jamii km Fredrick T.Sumaye alivyokopa hela na kununua Mashanba Kibaigwa akidai ni ya IFAD wakati sio mwanachama ALIRUDISHA?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...husishwa-na-ufisadi-wa-kuimaliza-nssf-21.html
Mbowe aifilisi NSSF
*Adaiwa milioni 1200, hataki kulipa
*Atumia sheria kukwepa asifungwe
*Adai iliyokopa ni kampuni si yeye
Nakushukuru Bw Ntuzu km hata kusoma Link zinakushinda iko siku utakuwa na historia itakufafanulia mm siwezi kukoamaa kwa ajili ya visent vya kuchangiwa kwenye maBox na wenzako wakiiba fedha za Wazazi wetu mpka wanafariki hatuambulii chochote,Wewe hueleweki hauna msimamo ukamanda haupo wala gambani haumo! Komaa uijue siasa upate mahela
Nakushukuru Bw Ntuzu km hata kusoma Link zinakushinda iko siku utakuwa na historia itakufafanulia mm siwezi kukoamaa kwa ajili ya visent vya kuchangiwa kwenye maBox na wenzako wakiiba fedha za Wazazi wetu mpka wanafariki hatuambulii chochote,
Subiri Kesi ya Mfuko wa Jamii walivyokwapua mabilioni inayosimamiwa na Tundu Lissu ndio utajua tunaibiwa