Mbowe anapwaya sana kama kiongozi wa upinzani

"sasa na wewe mwandishi hivi unataka mimi nijibadilishe niwe wingu nikanyeshe mtera ili maji yajae tupate umeme"?
Baada ya miaka 5 tangu 2005 'Hivi we mwandishi unafikiri kununua mitambo ya umeme ni kama unavyokwenda dukan kununua hilo koti lako?'
 
Sasa mkuu mimi nakubaliana na wewe, tatizo ni kwamba wewe ambaye hata udiwani hujapewa unaweza kumsaidia?

Mkuu acha ushabiki,ingawa najua ni vigumu kuacha kwa nafasi yako
katika chama chako,....

"MIKAEL P AWEDA mjumbe -Baraza kuu na
MKITI WA CHADEMA -JIMBO LA UBUNGO (0784583330)"


Ila ukweli ni kwamba chadema kuna bomu ambalo litalipuka mda si mrefu na mtakua
kama nccr-mageuzi,hatupendi mfike huko ila ndiyo njia mliyoshika kwa sasa,....

Ingekua hekima kama usinge changia kishabiki hapa na ukawashauri viongozi wako kama
unadhani unaweza kuwashauri kwa title lako katika chama chako,...otherwise
chadema is dying na mafisadi wanafufuka
 
CCM kinapata wasaa wa kujirekebisha kwa kuwa kinakosolewa kila kukicha, (na wanachama, magazeti, wanaharakati na wananchi wa kawaida). Ni Mbaya sana kuamini CDM au viongozi wake wako perfect kabisa hivyo hawahitaji constructive criticism.

Ili kujijenga vizuri ni lazima wapate hizi dozi na kama mtu ni mwanachama au mshabiki wa CDM ni vyema kukosoa unachoona hakiko sawa ili kujenda chama kani hiki ni Chama cha Demokrasia. Ingawa njia muafaka za kukosoa no katika vikao vya chama, lakini kwenye vijiwe na huku majamvini kuna uzuri wake kwani unakutana na mawazo mbadala ya watu wasio na mrengo wowote au itikadi zinazofanana.

Natumai hata FAM au Dr. Slaa (Phd) wanatingisha vichwa wakiona wanakosolewa kwa dhumuni la kujengwa zaidi kwani ni viongozi makini na wanaosikiliza

Ajidhanie amesimama,aangalie asianguke,...
am sad to say that chadema is dying a silent death if they wont
get out of a usingizi
 
Acaha kuropoka, mkapa na JK nani kajenga barabara nyingza lami?
JK anamapungufu yake lakini sio kwenye suala la barabar za lami.
Kajenga barabara nyingi kuliko raisi yeyote aliyewahi kuitawala TZ.

Tutajie barabara moja tu iliyojengwa na serikali hii (kuanzia funding sourcing, designing na construction). Sitaki nyingi, MOJA tu.
 
Ni kweli mbowe hakujiandaa, angejiandaa angebadili swali. Unapewa penalt unapiga nje refa anasema rudia muda huo huo unapiga nje tena na bado unajiita profesional
 
Huyu jamaa mimi niligundua toka muda mrefu sana kuwa kichwa chake ni box tu
 
GR, can we start from here?

Niliifungua hii thread kwa sababu niliona imetumwa na mtu anaitwa PhD. Nilipoisoma nikaona haina kitu, nikataka kufunga lakini nikasita nilipoona wewe GR umei-like, nikascrol ili nione mchango wako KWA SABABU WEWE NI MOJAWAPO YA WATU NINAOHESHIMU MICHANGO YAO HAPA JF. Ok. Nimekutana na maoni yako haya, nimeyasoma hadi mwisho, nimeona nikuulize, because inawezekana kuta 'kitu' unakijua.

Hoja hapa ni kuwa Mbowe anapwaya katika nafasi yake, na mtoa hoja amerefer hoja ya kuundwa kwa task force kama mfano. Wewe GR umetoa mfano wa hoja za Zitto kuwa zina mantiki kuliko za Mbowe. Ok, fine ndo maana nasema inewezekana kwa kuwa wewe una access ya kuwa exposed zaidi yangu kwa hao watu na bunge zima, nisaidie katika hili. Hoja hiyo ya Mbowe niliielewa, kwa bahati mbaya hoja za Zitto sijazishika. Naomba kwa kifupi, tupe mifano ya hoja za Mbowe ambazo zimeshindwa kuwa na uzito wa "kiongozi wa kambi ya upinzani", lakini pia ukijaribu kuzifananisha na hoja za watu wengine, kama Zitto ikiwezekana lakini hata maoni yako pia. Katika mifano hiyo, si vibaya ukakiri pia kama unaona kuna mahali panafaa, juu ya strength ya Mbowe.

Naomba katika hili uwe siriaz zaidi, maana tunamjadili sio tu kiongozi wa KUP, bali pia Mwenyekiti wa chama. Usishangae ni kwa nini watu wamejibu majibu ya jazba hapa (wakiwepo watu wenye heshima kubwa hapa JF), ni kwa sababu inamgusa 'kiongoziwao'.

Angalizo: Usiwapambanishe Zitto na Mbowe kwa sababu wote ni viongozi wa CDM, bali chambua hoja zao kwa hoja, na kuona ni ipi (kama zinatofautiana, na haziwezi kuchuliwa zote), kama ingekuwa applied, itajenga zaidi.

Heshima kwako GR.

More details in P.M.
 
FUSO, YUTONGHebu tuache jazba lets get to serious business. Mie naefuatilia Bunge kwa ukaribu hili linanigusa sana. kuna ukweli hapa wa zaidi ya asilimia 90.Tulitafakari hili kwa Kina
keep on Ryding the Ghosts once you have finished shift to the Zombies baada ya hapo ndo uje na hoja za msingi.
 
Back
Top Bottom