Mbowe analaumiwa bila sababu

Mbowe analaumiwa bila sababu

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,729
Reaction score
5,639
Mbowe amesema rais huyu mwenye asili ya Unguja anauza ardhi ya Tanganyika nyingi kuliko marais ambao asili yao ni Tanganyika. Sasa amekosea nini?

Siyo hivyo tu, rais huyu ambaye hakuchaguliwa na wananchi anauza mali za nchi nyingi kuliko rais waliochaguliwa na wananchi. Huyu ni rais ambaye ni selected,siyo elected.

Halafu rais anaweka mikataba ambayo rais ajaye hawezi kiuibadili Ni kama mfalme wa China alivyoiuza Hong Kong kwa Waingereza.

Halafu tuelewe jambo lililotokea. Rais ameingia kwenye huu mkataba halafu amewaletea Wabunge ku rubber stamp. Kwa hiyo, makosa yote ni ya rais.

Pia kuna ishara kwamba Bunge wanadhani kazi yao ni ku rubber stamp tu maagizo ya rais. Tazama mjadala wa debt ceiling katika Bunge la Marekani.

Bunge likiridhia kila kitu anachosema rais linaliweka Taifa katika hatari kubwa sana.

Haielekei Wabunge hawa hata kama wamemsikia Aristotle au Socrates.
 
Back
Top Bottom