Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Wakati fulani nyuma niliandika humu kuwa siasa za mwaka huu zitakuwa kama za Kenya ambapo Rais ataungana na kiongozi mkuu wa upinzani kwenye jukwaa moja kama Uhuru na Odinga walivyoungana.
Nilisema Mbowe ataungana na Mama Samia na kuunda timu moja ya Kampeni wakati Lissu ataungana na Sukuma Gang.
Wakati naona kama ndio umefika huu
Nilisema Mbowe ataungana na Mama Samia na kuunda timu moja ya Kampeni wakati Lissu ataungana na Sukuma Gang.
Wakati naona kama ndio umefika huu