Mbowe amvaa Spika Makinda

Nilishangaa siku moja nimekaa na Watu wa Afrika mashariki wakawa wanatucheka sana Watanzania. Kumbe ndivyo tulivyo. Hata kuweka ratio kwenye uwakilishaji tunashindwa. Hii ni aibu kubwa sana. Yaani tunachoangalia ni ulaji tu. Ndio maana rushwa inaongezeka CCM.
 
Back
Top Bottom