Mbowe amtambulisha Dkt. Slaa

Mbowe na Dr Slaa wametoka mbali kuliko mtu mwingine yeyote ndani ya Chadema. Dr Slaa anaweza kufanya kazi behind scenes kuimarisha utawala na mipango mkakati kuelekea 2025.
 
Ok. Yote ni heri.

Mbona ninyi ccm mmekabidhi kazi ya kueneza chama kwa muuaji, mtekaji, mporaji na mpiga risasi?

Pamoja na kwamba serikali ya Marekani imemtangaza Makonda kuwa ni mtoa roho za watu lkn bado mmefumba macho.
Sasa huoni kuwa ni faida kwenu kwa CCM kuweka mwenezi mwenye sifa mbaya? Au pia nyie CHADEMA huwa mnakubali bila CCM imara nchi itayumba?
 
Hao wawili walisema watashiriki maandamano ya Mwanza na walikwenda kushiriki, hata wewe na mama walikaribishwa kwani yaliwahusu wananchi wote bila kujali itikadi.
 
Tundu anatuchalewesha sana, anapenda misifa na kulialia24/7.


Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Ndiyo unavyojidanganya? Au kwa akili zako unadhani hapo tayari kuna mgohoro?
Umadhani ni kama CCM ambayo imemkabidhi Chama Makonda ili ajinyonge mwenyewe bila kufikiri namna na Chenyewe kitavyoathirika? Kinachodhani ni kwamba kitapata mvuto ma kubadili upepo kwa kumtoa Makonda kwenye mafasi yake. Mnatengeneza matatizo kwa kujitakia halafu mtegemee kusifiwa siku mkilitatua.
Badala ya kuhangaika kutatua hayo matatizo mnayoyatengeneza wenyewe si ni bora mngetumia muda na nguvi jizo kutatua matatizo halisi ya wanancho?
 
Na wale 19 wanaweza warudi hakuna rafiki au adui wa kudumu.
 
Hao wawili walisema watashiriki maandamano ya Mwanza na walikwenda kushiriki, hata wewe na mama walikaribishwa kwani yaliwahusu wananchi wote bila kujali itikadi.
Nisawa lakini hao wawili walifanyiwa utambulisho maalum na kuambiwa karibuni tufanye kazi.
Maneno kama hayo kuambiwa mtu kama Doctor Slaa na Mwabukusi kwa namna zao sio kutu cha kupuuza.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…