ModernSniper
Senior Member
- Jan 3, 2015
- 152
- 47
Hahahah kama ni ukweli yasemwayo basi CDM wasakatonge2, yan leo huyo lowasa kawa msafi, sio mwiz, sio fisadi, hanuki rushwa hahaha daah bas hyo bodyspry muwape nakina chenge, mazafwantaz CDM amna upinzani wakweli Tz, ccm endleeni2 kukanyaga maftaaa tena wekeni tofari kam vp🙁😡
Ndugu Mh El, Watu wengi sana wa cdm wanafikiria sana kuhusu kashfa ya Richmond iliyosababisha wewe kuachia nafasi ya Uwaziri mkuu.
Kumekuwa na tetesi nyingi kuwa kashfa ile haikuwa yako bali ulijiuzulu ili kumlinda mh Jk na Serikali kwa ujumla.
Baada ya kuchukua hatua ya kujiuzulu Watanzania walio wengi wameendelea kuamini kuwa wewe ndie muhusika mkuu wa sakata lile.
Siku zote umekuwa kimya sana kuhusiana na ile kashfa na hujasema lolote hali ambayo inaendelea kuumiza vichwa vya mashabiki wako.
Sasa mh El nakushauri kabla hujajiunga na Cdm tuambie kuwa Richmond ni ya nani. Kama ni ya mkuu wa kaya mvalishe zigo lake ahangaike nalo.
Endapo utafuata ushauri wangu. Utakuwa umejipandisha chati na hakutakuwa tena na maswali na itakuwa mbele kwa mbele hadi ikulu.
Peoplessss
Powerrrrrrrr.
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa mh. Freemam Mbowe amemkaribisha Lowassa kujiunga na CHADEMA hakibagui mtu ili mradi tu afuate kanuni na taratibu za chama.
Source: Tanzania Daima, Mwananchi
Huu uongo haukubaliki. Nimefuatilia magazeti Star TV na ITV, hamna Habari ya Mbowe kumkaribisha Lowassa. Basi si ungetaja gazeti husika? Huu ni umbea wa asubuhi na mapema
Tetty
Hiyo list of shame ilisomwa lini na leo ni lini, karibu miaka kumi mtu habadiliki?
Kama unamuona Lowassa ni fisadi kwa kuangalia list ile basi Kikwete atakuwa mwalimu wake kwa vile Kikwete ni wa kwanza kwenye list.
Kila siku mnaambiwa aliye na ushahidi wa ufisadi wake atuletee au aende mahakamani.
Kishavuta bil[SUB][/SUB].10 , mbona inajulikana tangu siku nyingi.Slaa kubali matokeo uchaggani wewe ni kama karai la kubebea zege.
Huu uongo haukubaliki. Nimefuatilia magazeti Star TV na ITV, hamna Habari ya Mbowe kumkaribisha Lowassa. Basi si ungetaja gazeti husika? Huu ni umbea wa asubuhi na mapema