Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Achana nao hao.Wameshikwa pabaya hawapumui tena.Kama Wana uhakika na mgombea wao kushinda mbona wanashinda humu wanatokwa jasho?Si mmnadi mgombea wenu muwaachie wananchi waamue October?
 
Achana nao hao.Wameshikwa pabaya hawapumui tena.Kama Wana uhakika na mgombea wao kushinda mbona wanashinda humu wanatokwa jasho?Si mmnadi mgombea wenu muwaachie wananchi waamue October?

magufuli ashajinadi mwenyewe toka waziri kipindi cha mzee mkapa, nyie ndo muomgeze nguvu kumsafisha mzee wa magumashi. hajui hata ongea mbele za watu, ana elhzimer disease yule, atatufia ikulu turudie uchaguzi
 
Ha ha ha Halafu unakuta mtu kama huyu anaitetea ccm ...utakuta maisha yake tia maji tia maji...na ana watoto / hii

nchi chini ya ccm ni giza mbeleni....Juzi meno ya tembo yamekamatwa uswiss airport...ila hapa airport ya dar yalipita.....

Embu tumieni akili basi kidogo mtoa mada....Kila kitu kishaibwa..tunataka kuanza upya..usiwe kizuizi..utabeba laana ya vizazi vijavyo bure.
 
Akili za nyumbu
 
Kuna mtu aliniambia eti umepatwa na ugonjwa wa kurukwa na akili,yaani uchizi nikambishia
 
Sabuni mbona mnataja sana sabuni au mnataka goli hilo la mkono mlilosema
 
Kumbe ukawa ni zahanati ya kuponya wagonjwa! Mwanzo tulikua tunasema EL mgonjwa na video clips kibao! Leo kawa jembe:-SS
 
magufuli ashajinadi mwenyewe toka waziri kipindi cha mzee mkapa, nyie ndo muomgeze nguvu kumsafisha mzee wa magumashi. hajui hata ongea mbele za watu, ana elhzimer disease yule, atatufia ikulu turudie uchaguzi

Mnalo hilo limewakwama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…