Albert Francis
Member
- Sep 30, 2010
- 8
- 3
acha kubwabwaja jibu hoja Mbowe hajauza chama? Twendeni na Magufuli
Atabaki kuwa mtumishi wa shetani, haiwezekani uende mbinguni kwa kumchukua kuhadi Wa ibirisi eti akirudi kwako ndo atakuwa msafi, wewe ni nani kakupa mamlaka ya kusafisha watu na kuendesha sala za toba? asizifanye dini zetu mchezo Wa kujgiza kama upuuzi wake huo ..dini yangu ni maisha yangu na ndo uhusika Wangu na Mungu na suala la kusema vyama vya siasa ni saw a na dini ni ushetani mkubwa ..Mbowe akumbuke Mungu hadhiakiwi
kikubwa ni kuitoa CCM madarakani, hayo mengine hayatuhusu!
Amekidhalilisha Chama Na UKAWA.Kwa Falsafa Yake Mbovu Ya Kutegemea Makapi Ya CCM Yamsaidie Kumpeleka Ikulu.
Mbowe Anamjua Sana Lowassa Kama Ni Kiongozi Bora Kuliko CCM Iliyomlea Kwa Zaidi Ya Miaka40.
Hawaeleze Watanzania Kua Amekubali Kununuliwa Kwa Gharama Ipi Na Nani Atailipa.Pesa Ya Mafisadi Walioitumia Kuwekeza Kwake Uwa Haipotei Bure.
Amekidhalilisha Chama Na UKAWA.Kwa Falsafa Yake Mbovu Ya Kutegemea Makapi Ya CCM Yamsaidie Kumpeleka Ikulu.
Mbowe Anamjua Sana Lowassa Kama Ni Kiongozi Bora Kuliko CCM Iliyomlea Kwa Zaidi Ya Miaka40.
Hawaeleze Watanzania Kua Amekubali Kununuliwa Kwa Gharama Ipi Na Nani Atailipa.Pesa Ya Mafisadi Walioitumia Kuwekeza Kwake Uwa Haipotei Bure.
Nililiona hili pale alipotoka ZZK...watu wakafichwa wasijue katoka kwa nn na kesi juu...anaepinga muulize ZZK alishtakiwa kwa nn kama atakupa jibu humu...ukweli alihoji matumizi mabaya ya pesa kivipi watu waseme wanaenda kustawisha chama uingereza ingali wanakula raha Dubai...wakamtimua na kesi juu...sasa leo kakiuza chama kabisa na nyie mnaopiga kelele endeleeni tuu mtaona ukweli wa haya maneno baadae...amkeni Watz wenzenu wanapiga fedha nyie kelele na mapovu yanawatoka na umaskini wenu...Prof ana akili ndio maana kawa Prof....
Mnashindwa kumnadi makomeo wenu badala yake mnamfanyia promo lowasa,amakweli ccm ni lakuvunda
* Kama unahisi ni pigo, wewe CCM kwanini usifurahie? maana kama kuna mtikisiko CCM ndiyo itashinda vizuri, cha ajabu wewe CCM ndiye unayehangaika kuwaonea huruma UKAWA kuliko hata wana UKAWA wenyewe....
* 'Ishara ya kutoaminika' umetoa wapi? Umefanya utafiti gani kupata hitimisho lako? Sampe distribution yako ikoje? Margin of error ni ngapi? Umetumia mda gani kufanya utafiti huo?
Kumbe!!! nilikuwa sina habari....Mkuu hilo ni gamba lipo kazini kupigania buku 7 za lumumba
Huyu ni njaa inamsumbua, hebu aende akamwone cashier wa TeamMamvi apate hela ya supu akili ikae sawa njaa ni mbaya sana!
Hawa hawana hela ya kumnunua Mbowe na Mamvi ndo maana wanaishia kutukana tu! i pinzani wa kweli kwa nchi hii utaletwa na watu wasioweza kuhongwa yaani waliotosheka! Waliamini kwamba fedha ndo itaua ukawa, Mbowe kawawekea Mamvi ambaye yeye anauwezo wa kuwanunua wanaccm kibao!
kikubwa ni kuitoa CCM madarakani, hayo mengine hayatuhusu!
Mtoa mada ni ccm. Haya tuambie nani msafi ccm???. Acheni waingie na wao tuone ufisadi. KWA sasa mbowe hakua serikalini km waziri so stop. Jitazame ww na kura za maoni.