Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Tarariraaaaaa! Haya walokuwa wakinibishia wako wapi?... UKAWA chanu....maskini Mbowe anatapatapa kama nahodha wa Tatinic kujiokoa hawezi bora afe na chama..
Wanaojiunga na Chadema toka CCM ni kundi la Lowassa ambao wameshajua hawatapata ridhaa ya CCM kugombea hata Udiwani. Lowassa na kundi lake lote limetemwa CCM hivyo msishangae kuona kundi la Nyumbu wakivuta mto Mara, marisho kule ng'ambo yamekwisha!
Naona umeibua uzi wa 2009 ili uimbe taarab ya TOT.
Hongera, una sauti tamu kama ya Khadija Kopa. Mtauza sana albam yenu mpya bila Kepten Komba.