Tunaelewa kaenda kumwambia kuwa tutaaandamana wakituvurumishia mabomu kama Lisu alivyofanya kukimbilia ubalozi wa Marekani na yeye Mbowe kamwambia kikiinuka nitakimbilia kwako jiandae kunipokeaTuliwaambia Tangu Jana , nadhani sasa wanaelewa
Source?Aliitwa kukatazwa kuandamana
Kwahiyo mnataka kutudedisha?Chadema Mnawashwa sasa tutawafanyia Massage safi na mkuno mtamu...
Ili mkaoshwe vizuri pale Muhimbili na Amana Fala nyie
Hakuna wa kuthubutu hata kunyanyua unyasi kumpiga muandamanaji. Haitatokea.nadhani amemueleza kwamba January 24 atachezea virungu kama mbwa Koko kwaihiyo wasifunge ubalozi kwasabb watakimbilia humo
Hayo umeropoka weweBavicha utasikia.
Uingereza wanataka Chadema ichukue nchi.
CDM vibaraka wa wazungu, Pole sana Kagame na wenzio ambao mnaipigania Afrika, kumbe wapinzani wenu wanaenda kuitoa Afrika yotee bila hurumaTunaelewa kaenda kumwambia kuwa tutaaandamana wakituvurumishia mabomu kama Lisu alivyofanya kukimbilia ubalozi wa Marekani na yeye Mbowe kamwambia kikiinuka nitakimbilia kwako jiandae kunipokea
Waandamanaji wengine watajijua kama ambavyo Lisu ,God bless Lema na Heche walitimkia nje wakaacha wengine wanyonge wanakiona Cha mtema Kuni
Mazungumzo ya kutafuta ukimbizi hayo anajiandalia mazingira yake na familia yake baada ya kuona Lisu na Godbless Lema familia zao zala Bata nje
Muraa lazima wataficha marungu wakiona ngozi nyeupe,Katika Ukurasa wa Ubalozi wa Uingereza Tanzania,
Umeonyesha Mwenyekiti wa CHADEMA akiwa amafanya mazungumzo na Balozo huyo kuhusu Mambo kadhaa ya Mustakabali wa siasa nchini..
Huu ni muendelezo wa vikao vyake na Mabalozi kadhaa wa.nchi za ulaya na Marekani kabla ya kuenda kwenye Maandamano yaliyopangwa kufanyila Tarehe 24/01/2024
View attachment 2876549
Freeman kawaweza safari hii..hahahaha..unamuita fala?...Huyu jamaa ni fala sana juzi katoka Ubalozi wa belgium, Kaenda ubalozi wa Marekani, Kaenda ubalozi wa brazili , kaenda ubalozi wa china kaenda ubalozi sjui wa wapi kama anahubiri injili..
Fla sana huyu..
Ye apeleke makalio yake kwenye maandamano aone tutamfanya nini yeye hata aende kwenye UBALOZI WA MBINGUNI kipigo ni pale pale
Aliitwa kukatazwa kuandamana
Akienda hofu yako Nini? Wenye hatia siku zote ni waoga.Huyu jamaa ni fala sana juzi katoka Ubalozi wa belgium, Kaenda ubalozi wa Marekani, Kaenda ubalozi wa brazili , kaenda ubalozi wa china kaenda ubalozi sjui wa wapi kama anahubiri injili..
Fla sana huyu..
Ye apeleke makalio yake kwenye maandamano aone tutamfanya nini yeye hata aende kwenye UBALOZI WA MBINGUNI kipigo ni pale pale
Waachwe waandamane kwa amani chini ya uangalizi wa polisi,mbona itatujenga sana nje ya nchi na ni haki yao ya demokrasia ili mama kwa mtihani huu apate high ranking! itamjenga kimkakati.Wewe huna akili.
Kwenye nchi hizi za kidikteta na unafiki wa demokrasia, ukiandamana kwa vile tu ni haki ya kikatiba, mashetani yanaweza kukufanya lolote kama yalivyomfanya Akwilina. Hivyo inatakiwa utengeneze mazingira mazuri ya maandamano yako ikjwa ni pamoja na kuijulisha jumuia ya kimataifa kwa nini unaandamana, kuna hatari gani unaiona, na unaiomba jumuia ya kimataifa isaidie nini kama mashetani yatafanya ushetani wao.
Pia unatakiwa uviandae vyombo vya habari vya kimataifa kuifuatilia maandamano yanavyoenda hatua kwa hatua. Hawa mashetani hawachelewi hata kuchoma majengo ya watu au kupora maduka ya watu ili tu waseme walilazimika kufanya ushetani wao kwa sababu maandamano yalikuwa ya uvunjifu wa amani.
Mbowe anafanya jambo zuri sana. Ili hata jamii ya kimataifa, ikiweza itume wawakilishi wao kuyashuhudia maandamano, waone kama ni maandamano ya amani au vurugu, na kama kuna vurugu waje waseme ni nani aliyeleta au kusababisha vurugu.
Hongera sana Mbowe kwa maandalizi mazuri ya maandamano ya amani.
👆 umenikumbusha Awamu ya 5 ati Mabeberu🤣😂Mabeberu