Mbowe amchimba mkwara JK.

elimu yako ipo kwenye vyeti (kukariri), mbowe elimu yake ipo kichwani na ameweza kuitumia kwa maendeleo ya taifa lake.. sasa jiulize hayo makaratasa bila taaluma kichwani yanakusaidia vipi katika haya maisha?
Wacha kuwa na akili mgando kijana! kama huelewi unafuata mkumbo tulia, maendeleo ya taifa hayaletwi na umaarifu wa mtu fulani, Huyo ni ZUZU TU, hana la maendeleo wala nini nshu yake kuitumia siasa kujinufaisha, maendeleo ya nchi yanaletwa na wewe na mimi nijinsi gani tunafanya kazi
 

punguza jazba.
ujinga ni nusu ya kifo.
 
Mtu unakaa kujisifia kuwa una elimu na unamponda Mbowe eti ni zero ajabu

Hata jk anatamani awe kama Mbowe ila ndio basi tena

Mbowe ni kichwa,mwerevu,ana busara na ana akili ya kuzaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…