Mbowe alizaliwa kuja kutetea/kuwasemea watu wengine?

Mbowe alizaliwa kuja kutetea/kuwasemea watu wengine?

Watu wa mjini kama mjini hakuna asiyemjua Mbowe

Na watu wale wa Mjini Shule hakuna asiyemjua Mbatia

Na wale misheni town hakuna asiyemuelewa Lyatonga

Hakuna mwanasiasa hapo!

Shida Kuna watu wanakuchukulia serious, bila kujua wewe ni comedian humu JF
 
Hata waziri husika kujiuzulu. Lakini kwa Tanzania and Peta na bado hao hao watanzania wanaona anafaa kuwa rais.
Wanasema anaupiga mwingi. Halafu hii kauli ya "anaupiga mwingi" cha ajabu ni kwamba utakuta eti na bodaboda naye anaishangilia.
 
Hahahahahaha yaani linapokuja jambo la uchaguzi mnakuwa wakali ila sisi CCM mnatuita ma dikiteta wakati huo huo mwenyekiti wenu wa ngo ni katili muuaji, gaidi na dikiteta hataki kabisa kufuata katiba ya chama chake na aliobadili ili aendelee kuwa mkubwa. Ukija kwa mlamba asali Zitto yeye ni Ayatollah kabisa yaani ni mungu wa hiyo ngo yake ya act wazalendo. Kwa ufupi hakuna upinzani Tanzania ila kuna vikundi vya mikusanyiko ya wanaharakati wenye kufanya siasa kulingana na upepo, wakiambia ushoga ni dili wanaibuka, wakilambishwa asali wanalamba wanaulizia kama wanaweza kupatiwa mpaka mzinga
😂😂😂😂😂😂😂
Mkuu una uhakika na haya madai yako?
 
Taifa hili lina watu wa ajabu ajabu sana
Wewe Kama unapenda kula Ni wewe usifikili kila mtu mlafi Kama wewe. Watu wanaongelea mambo ya kitaifa wewe unaleta mambo ya tumbo. Unajifanya kiwa na hasira na Mbowe wakati juzi hapa Mwigulu alikuambia Kama hutaki kulipa tozo hamia Burundi ukanywea. Una hasira na Mbowe lakini wale waliofikisha Deni la taifa Trilioni 91 unawachekea na kiwalamba miguu.
 
Back
Top Bottom