Mbowe alizaliwa kuja kutetea/kuwasemea watu wengine?

Kuna jamaa alimuona simba kanasa sehemu akamuonea huruma alipo mtoa tu dah yule Simba akamgeuzia kibao akamla.
 
Katika watu ambao ni hasara na hatari kuwatetea basi ni Watanzania, bora hata kutetea mbwa au paka ila sio kutetea Watanzania, ni vigumu sana kutetea watu wasio jitetea na sasa tunaaminishana mtu kama Mbowe alizaliwa ili aje kututetea sisi tukiwa tumetulia tuli tuli majumbani kwetu.

Kuna mtu ameuzimizwa kama Mbowe awamu ya Mwenda zake? Sisi tulimsaidia vipi? Mbowe nani asie jua vile Shamba lake lilivyo katwa katwa na wahuni wakina Sabaya kule Hai? Kuna mtu aliandamana kwa kitendo kile?

Leo hii pimbi tunasismama Ohoo Mbowe kalamaba asalai, ohoo mbowe kapewa pesa, ujinga wa Watanzania ni kuzania wao wamezaliwa watetewe tu na watu wengine, kama Mbowe na wengineo.

Nani alinyanyua mdomo au hata kuandamana wakati Mbowe ana shughulikiwa? Hakuna mjinga hata mmoja aliepaza sauti wala kuandamana, so how come now wajinga wajinga tuanze kusema kalamba asali mara sijui nini?

Kila mtu ajitetee na by the way kutetea Watanzania ni very risk bora kutetea hata mbwa.

[emoji1545][emoji817][emoji817][emoji818]
 
Wewe kama wewe unakuhusu nini mkuu?
Hahahahahaha yaani linapokuja jambo la uchaguzi mnakuwa wakali ila sisi CCM mnatuita ma dikiteta wakati huo huo mwenyekiti wenu wa ngo ni katili muuaji, gaidi na dikiteta hataki kabisa kufuata katiba ya chama chake na aliobadili ili aendelee kuwa mkubwa. Ukija kwa mlamba asali Zitto yeye ni Ayatollah kabisa yaani ni mungu wa hiyo ngo yake ya act wazalendo. Kwa ufupi hakuna upinzani Tanzania ila kuna vikundi vya mikusanyiko ya wanaharakati wenye kufanya siasa kulingana na upepo, wakiambia ushoga ni dili wanaibuka, wakilambishwa asali wanalamba wanaulizia kama wanaweza kupatiwa mpaka mzinga
 
Sikushangai mlambwa kuwa mnafiki na mchochezi! Umewajulia wapi wakati muda wote unashinda kwenye vitindi?
Watu wa mjini kama mjini hakuna asiyemjua Mbowe

Na watu wale wa Mjini Shule hakuna asiyemjua Mbatia

Na wale misheni town hakuna asiyemuelewa Lyatonga

Hakuna mwanasiasa hapo!
 
Watu wa mjini kama mjini hakuna asiyemjua Mbowe

Na watu wale wa Mjini Shule hakuna asiyemjua Mbatia

Na wale misheni town hakuna asiyemuelewa Lyatonga

Ni kweli hata kina shilole nao ni wanasiasa huko ccm na hakuna atakayebisha! Hebu Rudi kule kwenye vinyungu kaangalie ulikodondosha akili yako!
 
Katika watu ambao ni hasara na hatari kuwatetea basi ni Watanzania, bora hata kutetea mbwa au paka ila sio kutetea Watanzania, ni vigumu sana kutetea watu wasio jitetea na sasa tunaaminishana mtu kama Mbowe alizaliwa ili aje kututetea sisi tukiwa tumetulia tuli tuli majumbani kwetu.

Kuna mtu ameuzimizwa kama Mbowe awamu ya Mwenda zake? Sisi tulimsaidia vipi? Mbowe nani asie jua vile Shamba lake lilivyo katwa katwa na wahuni wakina Sabaya kule Hai? Kuna mtu aliandamana kwa kitendo kile?

Leo hii pimbi tunasismama Ohoo Mbowe kalamaba asalai, ohoo mbowe kapewa pesa, ujinga wa Watanzania ni kuzania wao wamezaliwa watetewe tu na watu wengine, kama Mbowe na wengineo.

Nani alinyanyua mdomo au hata kuandamana wakati Mbowe ana shughulikiwa? Hakuna mjinga hata mmoja aliepaza sauti wala kuandamana, so how come now wajinga wajinga tuanze kusema kalamba asali mara sijui nini?

Kila mtu ajitetee na by the way kutetea Watanzania ni very risk bora kutetea hata mbwa.
Mbowe anatetea tumbo lake, la familia yake na marafiki zake we zuzu. Amemtetea nani? Kwanza kati lipi/ Labda km we unahitaji kutetewa. Akuteteee ktk nini. Acha kujipendekeza kwa kuwatumia watanzania.
 
Wadanganyika wao kazi yao kunywa gongo, kudanga, kubet, na kulalamika kuwa maisha magumu. Lkn kuipigania haki yao na kesho yao hawataki.

Waliambiwa na Mwigulu Kama hamtaki tozo hamieni Burundi wakanyamaza, na wanalipa tozo mpaka leo.
 
NGO ni CCM ya akina makamba.
Mbona hao ni wapangaji tu anytime mambo yanabadilika tunawafukuza. Wao wenyewe wanajua kabisa siku zao zinahesabika na uharibifu wao. CCM wenyewe ni sisi wananchi. Ndiyo maana akina Mzee Malecela walitamba ila leo hii wapo wapi, akina Mzee Lowasa walitikisa leo hii wapo wapi. CCM ni Chama Dola tunataratibu zetu za kushughulikiana wala hatukurupuki kabisa. Mdogo mdogo.
 
Mbowe anatetea tumbo lake, la familia yake na marafiki zake we zuzu. Amemtetea nani? Kwanza kati lipi/ Labda km we unahitaji kutetewa. Akuteteee ktk nini. Acha kujipendekeza kwa kuwatumia watanzania.

Wewe Kama unapenda kula Ni wewe usifikili kila mtu mlafi Kama wewe. Watu wanaongelea mambo ya kitaifa wewe unaleta mambo ya tumbo. Unajifanya kiwa na hasira na Mbowe wakati juzi hapa Mwigulu alikuambia Kama hutaki kulipa tozo hamia Burundi ukanywea. Una hasira na Mbowe lakini wale waliofikisha Deni la taifa Trilioni 91 unawachekea na kiwalamba miguu.
 
Mbona hao ni wapangaji tu anytime mambo yanabadilika tunawafukuza. Wao wenyewe wanajua kabisa siku zao zinahesabika na uharibifu wao. CCM wenyewe ni sisi wananchi. Ndiyo maana akina Mzee Malecela walitamba ila leo hii wapo wapi, akina Mzee Lowasa walitikisa leo hii wapo wapi. CCM ni Chama Dola tunataratibu zetu za kushughulikiana wala hatukurupuki kabisa. Mdogo mdogo.

CCM ni nyie wananchi?. CCM gani ya wananchi? hii iliyowaambia wananchi kama hawataki tozo wahamie Burundi?. Hii CCM iliyowapa wananchi mzigo wa kulipa deni la taifa trilioni 91?. Hii iliyoshindwa kudhibiti mfumuko wa Bei?. CCM sio wananchi Bali kikundi Cha watu kinachotafuta madaraka Basi.

Kwa taarifa yako Hao wote uliowataja bado wanatambulika ndani ya CCM mpaka wanakufa.
 
CCM ni wewe na mimi hata mbowe na lema ndiyo wananchi wenyewe. Hakuna mwenye haki miliki ya CCM. Karibu sana CCM
 
Yaani ni shida. Wakati ingekuwa mataifa mengine kauli hiyo ingesababisha mapinduzi ya utawala mzima.

Hata waziri husika kujiuzulu. Lakini kwa Tanzania and Peta na bado hao hao watanzania wanaona anafaa kuwa rais.
 
Back
Top Bottom