fredmlay
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,849
- 388
Siegemei upande wowote lakini hizi hoja zako.. mhh, kwa kweli sio za GT kama ambavyo ingetarajiwa.Huu ni mwendelezo wa kile ambacho kimeridhiwa kwa manufaa ya kisiasa.
Kumbuka kuna kipindi gari la kazi za KUB ambalo anatumia Mh. Mbowe lilipata matatizo Kenya na katika safari hiyo, Mh. Mbowe alikuwa ameambatana na guess who?. Mh. Wenje.
Gari waliamua kuiacha Mombasa wakaamua kumalizia safari zao kwa usafiri mwingine. guess walikuwa wanaenda kukutana na nani? kwa faida ya nani?.
Haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya. Hata Rais Paul Kagame alishawahi kutumia reference ya msimamo wa CHADEMA katika hotuba yake.
Rais Kagame said last year, "he will wait for the right moment and hit Kikwete hard." This is the moment!
We knew it was coming!
Rais Kikwete husema, akili za kuambiwa changanya na zako!.