Mbowe: Alichokisema Lissu ni kauli ya CHADEMA

Mbowe: Alichokisema Lissu ni kauli ya CHADEMA

Mbowe ameongea kabisa nampongeza sana Tundu Lissu kwa kuweza kuongea ukweli na kusimamia kwenye haki na ukweli siku zote
 
JMTZ Rais ndiyo kila kitu, hivyo basi ni mtu asiye na akili timamu tu ndiyo anafikiri anaweza kupata suluhisho la matatizo/malalmiko yake kwa kutangaza vita dhidi ya Raisi wa JMTZ ambaye pia ndani ya wiki chache atakuwa Mwenyekiti wa CCM chama chenye Wabunge zaidi ya 188 dhidi ya 30 wa Chadema, ni mtu mjinga tu ndiyo anaweza kuwa na kili kama hizi!
I hope wamekusikia na watafuata ushauri wako
 
Hapo ni swala la sheria..Atamfanya nini sasa??


Sheria ipi unayoingela? Sheria ni nini na hutungwa au hubatilishwa na nani? Raisi wa JMTZ ndiyo husaini Sheria iliyopitishwa na Bunge, na Bunge ndiyo hutunga Sheria na Bunge la JMTZ, CCM ina wabunge 200 dhidi ya ukawa 70, sasa mazingira kama haya unawezaje kuanzisha vita na ukashinda?
 
Ndiyo maana nasema chadema inaongozwa na stupid people, huwezi kum bypass Raisi wa JMTZ ndani ya ardhi ya JMTZ hata iweje hilo chadema walipaswa walitambue tangu zamani sana!

Katiba ya JMTZ inampa Raisi karibia absolute power kwa maana nyingine hakuna kinachofanyika bila ya yeye kuhusika kwa namna moja au nyingine, watu smart wanalijua hili na ndiyo maana Mzee Mwapachu alirudi CCM inaelekea alikuwa na nia ya dhati kabisa lkn alishindwa kushirikiana na watu unintelligent kama hawa wa chadema!!
Basi nyie wenye akili tushushieni bei ya sukari,punguzeni kodi ili wananchi wasiteseke kama mlivyoahidi.
 
Magufuli ni 'mungumtu'?
Wanachojidanganya kupita kiasi watawala wa ya 5 ni kuijiona kuwa wao ndiyo' wanaomiliki ' vifaru vya kijeshi na magari ya washawasha ya Polisi.

Wanaamini kuwa wakati wote watakapokuwa wanaviamrisha vifaru hivyo viwapondeponde wananchi, vitatii amri....

Wanachosahau watawala wetu ni kuwa hata Hosni Mubarak miaka michache tu iliyopita alikuwa na mawazo kama yao.

Hata hivyo ilifika wakati vifaru alivyokuwa anaviamrisha viende vikawaponde wananchi, badala ya hivyo vifaru kutekeleza amri ya Mubarak, badala yake wananchi wakawa wanavikwea vifaru hivyo kama sisi tunavyokwea mabasi ya mwendo kasi!

Wanachosahau pia watawala wetu ni kuwa tokea kuumbwa kwa dunia hii, hakujawahi kutokea kwa nguvu ya dola kuishinda nguvu ya Umma......
 
Huo ushauri wakashauri chadema wenzako
JMTZ Rais ndiyo kila kitu, hivyo basi ni mtu asiye na akili timamu tu ndiyo anafikiri anaweza kupata suluhisho la matatizo/malalmiko yake kwa kutangaza vita dhidi ya Raisi wa JMTZ ambaye pia ndani ya wiki chache atakuwa Mwenyekiti wa CCM chama chenye Wabunge zaidi ya 188 dhidi ya 30 wa Chadema, ni mtu mjinga tu ndiyo anaweza kuwa na kili kama hizi!
 

Kwa kifupi ni vita dhidi ya Raisi wa JMTZ!
Hahah Chama chenye Wabunge 30 kinatangaza vita dhidi ya Raisi wa Chama chenye Wabunge 188 na ambaye Katiba ya nchi inampa karibia absolute power, hapa ni low IQ tu inafanya kazi hakuna jinsi ya kulielezea hili!
Kweli hapa ni low IQ(ww) inajaribu kutiaminisha haiwezekani
 
Sheria ipi unayoingela? Sheria ni nini na hutungwa au hubatilishwa na nani? Raisi wa JMTZ ndiyo husaini Sheria iliyopitishwa na Bunge, na Bunge ndiyo hutunga Sheria na Bunge la JMTZ, CCM ina wabunge 200 dhidi ya ukawa 70, sasa mazingira kama haya unawezaje kuanzisha vita na ukashinda?
Mkuu hapo ishu ya wabunge kuwa wengi au wachache inaingiaje?? Swala hapa ni kujadili kosa alilofanya mwananchi Tundu Lisu. Kwa hiyo CCM watabadilisha sheria zilizopo ili kukabili upinzani au wanatakiwa kubadili sheria kwa lengo la kuboresha sheria za nchi kwa watanzania wote?? Tatizo mnamuona raisi mungu mtu na wakati yeye mwenyewe anaongoza kwa kutumia sheria za nchi zilizopo. Acheni uoga vijana.
 
Kwa kifupi ni vita dhidi ya Raisi wa JMTZ! Hahah Chama chenye Wabunge 30 kinatangaza vita dhidi ya Raisi wa Chama chenye Wabunge 188 na ambaye Katiba ya nchi inampa karibia absolute power, hapa ni low IQ tu inafanya kazi hakuna jinsi ya kulielezea hili!
Naona kama umepotea ukiwa na mawazo kama haya..That means watu wakae kimya kweli maendelea yakuwepo kwa namna hiyo.?? tufikie nje ya box. Unajua hata KANU kule Kenya walikuwa hivi hivi, ila kwa sasa na wao wanaisoma namba kwa Jubilee
 
Hauwezi wewe kutangaza vita dhidi ya Raisi wa JMTZ ambaye unahitaji ushirikiano wake wa namna moja au nyingine ili uweze kufanikiwa kisiasa, kwa kifupi TanZania huwezi kumkwepa Raisi hata ufanye nini!
Watch and learn
 
Back
Top Bottom