Mbowe: Alichokisema Lissu ni kauli ya CHADEMA

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe mara baada ya Wakili msomi wa CHADEMA Tundu Lissu kupata dhamana. (amezungumza na wandishi wa Habari)

Freeman Mbowe amesema kauli hiyo niyawapenda demokrasia wote Tanzania na nikauli ya CHADEMA kwa hiyo chama kitakua kila hatua kwenye kesi hiyo..
Alichosema Tundulissu baada ya kutoka mahakamani

Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe mara baada ya Wakili msomi wa Chadema Tundu Lissu kupata dhamana. (amezungumza na wandishi wa Habari)

Freeman Mbowe amesema kauli hiyo niyawapenda demokrasia wote Tanzania na nikauli ya chadema kwahiyo chama kitakua kila hatua kwenye kesi hiyo..

Chanzo: Mwandishi wetu

Kwa kifupi ni vita dhidi ya Raisi wa JMTZ!
Hahah Chama chenye Wabunge 30 kinatangaza vita dhidi ya Raisi wa Chama chenye Wabunge 188 na ambaye Katiba ya nchi inampa karibia absolute power, hapa ni low IQ tu inafanya kazi hakuna jinsi ya kulielezea hili!
 
Kwa kifupi ni vita dhidi ya Raisi wa JMTZ! Hahah Chama chenye Wabunge 30 kinatangaza vita dhidi ya Raisi wa Chama chenye Wabunge 188 na ambaye Katiba ya nchi inampa karibia absolute power, hapa ni low IQ tu inafanya kazi hakuna jinsi ya kulielezea hili!
Kwahiyo nikutofuata hata sheria ya vyama vingi?
 
Kwa kifupi ni vita dhidi ya Raisi wa JMTZ! Hahah Chama chenye Wabunge 30 kinatangaza vita dhidi ya Raisi wa Chama chenye Wabunge 188 na ambaye Katiba ya nchi inampa karibia absolute power, hapa ni low IQ tu inafanya kazi hakuna jinsi ya kulielezea hili!

kwa hiyo wewe unadhani ni vita ya ngumi au..??? kwamba wengi watashinda..?? kama ni ngumi mm mwenyewe naweza kumpiga magufuli...!! ni vita ya kisheria...!!!
 
Kwa kifupi ni vita dhidi ya Raisi wa JMTZ! Hahah Chama chenye Wabunge 30 kinatangaza vita dhidi ya Raisi wa Chama chenye Wabunge 188 na ambaye Katiba ya nchi inampa karibia absolute power, hapa ni low IQ tu inafanya kazi hakuna jinsi ya kulielezea hili!
it seems katiba haina maana tena kwako?

NI kweli ni vita lakini usisahau kwenye hili hakimu ni katiba na sio idadi ya wabunge wala wanachama
 
it seems katiba haina maana tena kwako?

NI kweli ni vita lakini usisahau kwenye hili hakimu ni katiba na sio idadi ya wabunge wala wanachama

JMTZ Rais ndiyo kila kitu, hivyo basi ni mtu asiye na akili timamu tu ndiyo anafikiri anaweza kupata suluhisho la matatizo/malalamiko yake kwa kutangaza vita dhidi ya Raisi wa JMTZ ambaye pia ndani ya wiki chache atakuwa Mwenyekiti wa CCM chama chenye Wabunge zaidi ya 188 dhidi ya 30 wa Chadema, ni mtu mjinga tu ndiyo anaweza kuwa na kili kama hizi!
 
Kwa kifupi ni vita dhidi ya Raisi wa JMTZ! Hahah Chama chenye Wabunge 30 kinatangaza vita dhidi ya Raisi wa Chama chenye Wabunge 188 na ambaye Katiba ya nchi inampa karibia absolute power, hapa ni low IQ tu inafanya kazi hakuna jinsi ya kulielezea hili!
Ni asiyejua mambo pekee aaminiye kuwa katiba hutetea ama husimamia wingi ama kundi la watu kwa idadi.
 
Back
Top Bottom