Mbowe akifungwa CHADEMA inakufa?

Mbowe akifungwa CHADEMA inakufa?

Inawezekana usijue hata mfumo ulivyo.

Kama unajua na unaamini mfumo, nadhani utakuwa unajua CHAMA ni nini maana yake.

Anyway unaweza kuwa na mtazamo wako lakini usikubaliwe vilevile.. Mbowe siyo CDM na Lema siyo be Nguzo.
Huyo hana A wala B juu ya mambo ya siasa bali ni mihemuko ya kupewa buku 7 tu
 
Wachana na chawa wa ccm walioingia jf baada ya uchaguzi wa 2015
Nasema tena, Katiba mpya na nzuri sio suluhisho nchi za Afrika, viongozi wetu hakuna kinachowalazimisha kuishi kwa mujibu wa katiba
Mwendazake hakuwa na ubavu wala haitokuja akawa tena na ubavu hata kwa kutumia mizimu akuimaliza cdm.
Mimi sijui cdm haijakufa kivipi, Haina mbunge, Haina diwani, Haina halmashauri, Haina hata kitongoji Wala amshaamsha Iko hai kivipi?
 
Kuna kesi ya kumfunga mtu hapo ndugu ? Ni kesi ya kulidhalilisha taifa letu ndani na je ya nchi. Aibu tupu.

Kama hatuwezi hata kufuata sheria zetu wenyewe tulizojitungia..hivi hayo maendeleo yatatoka wapi ?

Yaani ni kama jamhuri ya wagagagigikoko
 
Kuna kesi ya kumfunga mtu hapo ndugu ? Ni kesi ya kulidhalilisha taifa letu ndani na je ya nchi. Aibu tupu.

Kama hatuwezi hata kufuata sheria zetu wenyewe tulizojitungia..hivi hayo maendeleo yatatoka wapi ?

Yaani ni kama jamhuri ya wagagagigikoko
Kule kwa akina Huihui?
 
Mbona mnateseka sana Simlisema MAGUFULI KAIUA CHADEMA SASA IFE MARA NGAPI? NI KICHAA TU NDIO ANAWAZA KAMA WEWE

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Kwani Chama kilicho hai kina sifa zipi?
Mimi nazifahamu sifa za Chama kilicho kufa TU basi.

kwakuwa sifa kuu ya Chama Cha siasa ni kukamata Dola na huwezi kukamata Dola bila kishiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, ubunge na urais na kuwa na mitaa, madiwani na wabunge wengi. Chadema Haina mbunge na imefukuza wabunge wote eti kwasababu wameibiwa kura. Lakini tangu mwaka 1995 malalamiko ya kuibiwa kura yapo lakini hawakususa kwenda bungeni Wala kususia chaguzi ndogo. Safari hii imekuwaje? au ni kwasababu the big potatoes hawakuchaguliwa ubunge.

Wakati Zuma amekamatwa kwenda jela wafuasi wake walileta fujo nyingi mitaani, mbona hali ni tofauti kwa mbowe? Wafuasi wake wako mitaani na mambo Yao. Hii ni kuonyesha kuwa chadema haina wafuasi kindakindaki, wako wapiga dili TU. Hela za ubunge wanazopata hazitumiki kujenga Chama bali zinatumika kama mitaji na Mali zao binafsi za kujengea majumba ya kifahari, mahoteli, mashamba na studio za music. Wafuasi wa cdm wanatumika kama ngazi zao za kupandia juu.
 
Kuna kesi ya kumfunga mtu hapo ndugu ? Ni kesi ya kulidhalilisha taifa letu ndani na je ya nchi. Aibu tupu.

Kama hatuwezi hata kufuata sheria zetu wenyewe tulizojitungia..hivi hayo maendeleo yatatoka wapi ?

Yaani ni kama jamhuri ya wagagagigikoko
Tusijidanganye, Mababeru hawajali kuhusu demokrasia zetu, wanachojali ni maslahi Yao TU kwetu. Kama dhahabu wanapata hawana shida ya demokrasia zetu, utalalamika na kushitakiweeee kwao kuhusu ukosefu wa katiba mpya na demokrasia lakini wapi!! Ndio maana Kagame na Museven ni rafiki zao ingawa ni ving'ang'anizi madarakani, Kenya Kuna ukabila lakini ni marafiki zao. Hivyo, Lisu na Lema rudini nchini hao mabeberu hawawezi kuwasaidia kuleta demokrasia nchini bila ya nyie wenyewe.
 
Nani kakuambia chadema ni mbowe?
Kama asingekuwa mbowe cdm wasingesusia mazungumzo yanayoendelea kwasababu mbowe Yuko ndani. Wanachofanya cdm ni kuwasusia shamba ngedere.

Hakuna beberu anaesomba dhahabu zetu kiurahisi hivi atakaewasaidia cdm kuleta demokrasia Tanzania, kwa mabeberu present is known and secure. Mabeberu chini ya CCM Wana uhakika wa 100% kwa mambo 3 makubwa, kwanza wanavuna rasilimali zetu bila vikwazo vingi, pili Zanzibar haigeuki kuwa maficho ya magaidi na nchi ya kiislam na tatu, uhuru wa kuabudu kwa dini zote unakuwepo. Ndio maana serikali inasisitiza kuwa Tanzania Haina dini, hili ni agizo mahususi kutoka kwa mabeberu hata kabla ya kupewa Uhuru, na muungano huu wa Tanganyika na Zanzibar umeasisiwa na kulimdwa na mabeberu pia. Hata kama wazanzibar wakiuawa wangapi kwaajili ya uchaguzi au muungano hakuna atakayekwenda the Hungue.

Watu waliokomaa kwenye siasa lazima wayajue mambo haya ya msingi. Mabeberu hawana Cha bure na la bure, wanaangalia maslahi Yao, opportunity cost.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom