Wewe huoni au unataka sifa TU. Chama hakishiriki kwenye chochote Sasa hivi hadi mbowe aachiwe bila mashariti, Sasa hata mnyika ni haramu kishiriki kwenye chochote hadi mwenyekiti atoke bila mashariti, Use and disuse effect. Asiyekuwepo machoni na moyoni hatakuwepo.
Chama ni Imani na Imani inarithiwa na vizazi. Hawa watoto ambao ndo wanaanza kupata akili Sasa hivi hawajui kama Kuna chadema, maana hakionekani mitaani Wala kwenye media. Kimebakia kuwa Chama Cha kwenye yu-tube.
Lisu na Lema kuishi nje ya Nchi kunaua chama, vijana wanakata tamaa, hasa wale ambao hawana uwezo wa kwenda kuishi nje ya Nchi kama Lema na Lisu kama mambo yataharibika nchini. Watasema present is known and secure.