Chadema ni taasisi. Kama unaelewa utaelewa.Mbowe Yuko mahabusu, Lisu na Lema wako uhanishoni. Je, huu ndio mwisho wa chadema?
Hata Mzee Ali Hassan Mwinyi na Ali Kessy walikuwa wanaamini kuwa, bila Magufuli, hii Nchi ndio mwisho wake!Mbowe Yuko mahabusu, Lisu na Lema wako uhanishoni. Je, huu ndio mwisho wa chadema?
Chama ni watu, watu hufanya taasisi taasisi huongozwa na mifumo, na mifumo husinamiwa na watu. Sasa umeelewa eehhh ?Mbowe Yuko mahabusu, Lisu na Lema wako uhanishoni. Je, huu ndio mwisho wa chadema?
Alipokufa jiwe ccm ilikufa?Mbowe Yuko mahabusu, Lisu na Lema wako uhanishoni. Je, huu ndio mwisho wa chadema?
Akili kubwa mkubwaHata Mzee Ali Hassan Mwinyi na Ali Kessy walikuwa wanaamini kuwa, bila Magufuli, hii Nchi ndio mwisho wake!
Watajiharishia hao chawa wa ccmMara paap mbowe anakuwa waziri mkuu..![]()
... Chadema itakufa mara tu mbingu zitakapotoweka; lakini kwa hakika, kama Mbingu ziishivyo, Chadema itadumu. Mungu atawainulia kiongozi mwingine atakayewaongoza.Mbowe Yuko mahabusu, Lisu na Lema wako uhanishoni. Je, huu ndio mwisho wa chadema?
Nani aliyekuambia kuwa Mbowe ,Lissu na Lema ndio Chadema?Mbowe Yuko mahabusu, Lisu na Lema wako uhanishoni. Je, huu ndio mwisho wa chadema?
Nilikuwa nami najua hivyo, lakini kumbe sivyo bhana, chadema inaonekana kama imeparalyse kabisa, haishiriki kwenye chochote eti kwakuwa mwenyekiti wao Yuko mahabusu na akina Lisu wako uhamishonii. Hawashiriki kwenye chaguzi ndogo Wala kwenye mazungumzo na hayo sio maamuzi ya mkutano mkuu wa chadema bali ni maamuzi ya viongozi wachache wa chadema.Chama ni watu, watu hufanya taasisi taasisi huongozwa na mifumo, na mifumo husinamiwa na watu. Sasa umeelewa eehhh ?
Tuliza akili huenda ukawaelewa chadema kuliko wengine wote na hata ukawa mwanachama mwaminifu na mzalendo, wasichotaka chadema ni kushiriki chafuzi badala ya uchaguzi, dai la msingi ni katiba mpya ya wananchi ambayo ndani yake inapatikana tume huru ya uchaguzi. Kurudi bila wasiojulikana kujulikana na hatua kuchukuliwa bado inaweza isiwe salama, kwani anayokumbukumbu ya ulemavu aliosababishiwa na ambao hakuna aliyefanya chochote hadharani hata tu kukemea uhalifu ule wa viwango vile, zaidi ya kejeli na kebehi za wazi. Na zaidi kejeli na kebehi zikachagizwa na dhuluma ya haki zake za msingi Kwa visingizio vya wachache sijui kwa utashi wao au kwa maelekezo. wewe unasemaje mwenzetu kama binadamu wa kawaida bila kuzingatua mamlaka au wadhifa ulionao🤔.Nilikuwa nami najua hivyo, lakini kumbe sivyo bhana, chadema inaonekana kama imeparalyse kabisa, haishiriki kwenye chochote eti kwakuwa mwenyekiti wao Yuko mahabusu na akina Lisu wako uhamishonii. Hawashiriki kwenye chaguzi ndogo Wala kwenye mazungumzo na hayo sio maamuzi ya mkutano mkuu wa chadema bali ni maamuzi ya viongozi wachache wa chadema.
Mh. Lisu kasema harudi mpaka ahakikishiwe kupewa na serikali ma body guards wa kumlinda binafsi, je sharti hili lisipotimizwa na mbowe akifungwa ndiyo chadema imekufa?
Usipigege mawe makubwa Kama haya.Hata Mzee Ali Hassan Mwinyi na Ali Kessy walikuwa wanaamini kuwa, bila Magufuli, hii Nchi ndio mwisho wake!
Wewe huoni au unataka sifa TU. Chama hakishiriki kwenye chochote Sasa hivi hadi mbowe aachiwe bila mashariti, Sasa hata mnyika ni haramu kishiriki kwenye chochote hadi mwenyekiti atoke bila mashariti, Use and disuse effect. Asiyekuwepo machoni na moyoni hatakuwepo.Nani aliyekuambia kuwa Mbowe ,Lissu na Lema ndio Chadema?
Muwe mnashirikisha vizuri kichwa na ubongo.
Unaombwa uwapige Kwa kutumia mchanga badala ya mawe makubwa mwisho utawamwaga ubongo buree🏃.Usipigege mawe makubwa Kama haya.
Ila kutaka kuwauwa siyo kuuwa chamaWewe huoni au unataka sifa TU. Chama hakishiriki kwenye chochote Sasa hivi hadi mbowe aachiwe bila mashariti, Sasa hata mnyika ni haramu kishiriki kwenye chochote hadi mwenyekiti atoke bila mashariti, Use and disuse effect. Asiyekuwepo machoni na moyoni hatakuwepo.
Chama ni Imani na Imani inarithiwa na vizazi. Hawa watoto ambao ndo wanaanza kupata akili Sasa hivi hawajui kama Kuna chadema, maana hakionekani mitaani Wala kwenye media. Kimebakia kuwa Chama Cha kwenye yu-tube.
Lisu na Lema kuishi nje ya Nchi kunaua chama, vijana wanakata tamaa, hasa wale ambao hawana uwezo wa kwenda kuishi nje ya Nchi kama Lema na Lisu kama mambo yataharibika nchini. Watasema present is known and secure.