johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mbona humshangai mnyasa?Inashangaza kwa kweli.
Mbona humshangai mnyasa?Inashangaza kwa kweli.
Akili zako zinaukunguMkuu hesabu ulijifunzia wapi hiyo 0+ huna tofauti na Gwajima aliyesema cheti cha division 0. Haya mambo ya namba muwaachie wenyewe jamani!
People, get serious!Baada ya mkoa wake kufanya vizuri katika uchaguzi wa madiwani jana ukiizidi mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, natoa wito kwa wanachadema kama itawapendeza basi huyu Sugu anafaa sana kumrithi Mbowe katika uchaguzi wa mwenyekiti mwakani. Nafahamu kuwa Singida ambayo pia imefanya vizuri itatoa mgombea urais. Kwenu ufipa nawasilisha!
Hahahaa ziro plus!!!Akili zako zinaukungu
Elewa msemo wewe kibendera
Unaruka Mkojo unakanyaga Kinyesi
Pia hapo hujaelewa!
Hahahaa mkuu wanasiasa wana historia ndefu!Mnyasa tena, ndio nani huyo?
Hawezi..anajua kabisa akiruhusu democrasia hana kitiKweli kabisa mkuu, Mbowe aruhusu democrasia
Mambo ya chadema yanakuwashia nini kama ww siyo chadema????Baada ya mkoa wake kufanya vizuri katika uchaguzi wa madiwani jana ukiizidi mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, natoa wito kwa wanachadema kama itawapendeza basi huyu Sugu anafaa sana kumrithi Mbowe katika uchaguzi wa mwenyekiti mwakani. Nafahamu kuwa Singida ambayo pia imefanya vizuri itatoa mgombea urais. Kwenu ufipa nawasilisha!
Inashangaza sana.Sasa kwa nini hataki kuachia uenyekiti?
Hoja ya kijinga. Kwa hiyo Gambo na yy tuanze kumpigia chapuo ili awe m/kiti wa CCM baada ya ushindi wa kishindo kwenye maaneo ambayo tuliaminishwa ni ngome za CDM. Mbona mnaandika vitu vyepesi sana ambavyo hata kijana wa darasa la 4 anaweza akaandika?Baada ya mkoa wake kufanya vizuri katika uchaguzi wa madiwani jana ukiizidi mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, natoa wito kwa wanachadema kama itawapendeza basi huyu Sugu anafaa sana kumrithi Mbowe katika uchaguzi wa mwenyekiti mwakani. Nafahamu kuwa Singida ambayo pia imefanya vizuri itatoa mgombea urais. Kwenu ufipa nawasilisha!
Kweli kabisa mkuu, Mbowe aruhusu democrasia
Kwani huko mbeya chadema iliposhinda walitumia refa wa nani? Usiishi kwa kukaririshwaUnaanda mpambano refa wako, uwanja wako na bado haitoshi unamfunga mpinzani wako mikono. Hapo ndo muanze kupigana. Hayo ndo ya ccm
na tuna rais wetu wa maisha magu atapendezaTuna mwenyekiti wetu wa maisha Mbowe, tuache na chama chetu
Mbowe akiwa hai!!!! ThubutuBaada ya mkoa wake kufanya vizuri katika uchaguzi wa madiwani jana ukiizidi mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, natoa wito kwa wanachadema kama itawapendeza basi huyu Sugu anafaa sana kumrithi Mbowe katika uchaguzi wa mwenyekiti mwakani. Nafahamu kuwa Singida ambayo pia imefanya vizuri itatoa mgombea urais. Kwenu ufipa nawasilisha!
agombee nyumbani kwenu na baba yako itapendezaBaada ya mkoa wake kufanya vizuri katika uchaguzi wa madiwani jana ukiizidi mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, natoa wito kwa wanachadema kama itawapendeza basi huyu Sugu anafaa sana kumrithi Mbowe katika uchaguzi wa mwenyekiti mwakani. Nafahamu kuwa Singida ambayo pia imefanya vizuri itatoa mgombea urais. Kwenu ufipa nawasilisha!