Chama chenu [emoji2] [emoji2] we mchawi nn utarogwa xaxahivTuna mwenyekiti wetu wa maisha Mbowe, tuache na chama chetu
Kwani mwenyekiti wetu wa kudumu amepinduliwa na jeshi?Baada ya mkoa wake kufanya vizuri katika uchaguzi wa madiwani jana ukiizidi mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, natoa wito kwa wanachadema kama itawapendeza basi huyu Sugu anafaa sana kumrithi Mbowe katika uchaguzi wa mwenyekiti mwakani. Nafahamu kuwa Singida ambayo pia imefanya vizuri itatoa mgombea urais. Kwenu ufipa nawasilisha!
Amepoteza ushawishi kuanzia kijijini kwake!!Kwani mwenyekiti wetu wa kudumu amepinduliwa na jeshi?
Hivi mbeya hakuna tume na polisi za ccm?Tume na polisi ndio wapiga kura wa ccm
Kwani chadema imeshika dola?Democrasia ianzie ndani ya chadema kwa kuruhusu uchaguzi huru wa mwenyekiti.
Mbowe ni shina la ccm anaetumiwa na ccm bila cahdema kujua.. Soon utakuja kugunduaHivi kwa nini CCM hawataki Mbowe awe mwenyekiti wa Chadema? maana wanalalamika kuliko Chadema wenyewe. Inawauma nini kwa Mbowe kuwa mwenyekiti? Ukiona paka anamchagulia panya shimo la kuingia ujue kuna maslahi kayaona kwenye hilo shimo.
Mbeya imeachwa kama sample ili mtumie kama kichaka cha kujifichiaHivi mbeya hakuna tume na polisi za ccm?
Hajipendi ,uliza wale waliotaka kugombea uenyekiti wa Chadema sasa wako wapiNdugu wanajamvi salamu kwanza!
Ikiwa ni mapema mwakani chama chetu CHADEMA kitaingia kwenye uchaguzi wake mkuu utakaohusisha ngazi zote za uongozi wa chamoa.
Sina shida na nafasi zingine za uongozi ndani ya chama chetu bali nafasi ambayo imekuwa ikiishughulisha akili yangu kwa sasa ni nafasi ya juu ya chama yaani Mwenyekiti.
Huenda wanachama wengi tungependa kuona mabadiliko katika nafasi hiyo kubwa ndani ya chama baada ya kukaliwa na mtu mmoja kwa muongo na miaka minne sasa.
Swali la mjadala ni je ni nani mwenye uwezo ndani ya CHADEMA wa kuvivaa viatu vya Mbowe vikamtosha? Nani mwenye uwezo huo mkubwa ambaye ataweza kukivusha chama, sifa zake ni zipi na ana uzoefu upi.
Ndugu zangu nimeileta hii mada ili tukisaidie chama hiki kikuu cha upinzani nchini. Tutakuwa hatutendi haki kama tutakuwa tunalaumu kutokufanyika mabadiliko katika nafasi hiyo kubwa wakati hatutoi mbadala wa kile tunachotaka kibadilike.
Ikumbukwe kwamba mabadiliko sahihi ni kutoka sehemu moja kwenda sehemu bora zaidi swali ni nani unayemuona bora ndani ya CHADEMA atakayeweza kuvaa viatu vya Mbowe?
Nahitaji hoja siyo matusi na kejeli.
Ndugu wanajamvi salamu kwanza!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naomba nikujibu kwa picha kabla sijasinzia....
View attachment 505548
Kumbe mbeya ni wasaliti sasaMbeya imeachwa kama sample ili mtumie kama kichaka cha kujifichia
Kama kama!Kupendeza?Imekuwa togwa hiyo?Unaelewa maana ya " kama itawapendeza"?.......au umekurupushwa kutokea machakani!!