Mbowe ajisalimisha polisi; ahojiwa na kuachiwa

ccm bado mbumbumbu hawasomi alama za nyakati. wanatakiwa pia wasome na ule waraka wa wanajeshi kuasi.
Mkuu ule WARAKA bado unao?Nitupie ktk alfred.geofrey@yahoo.com.Ukiweka hapa Mods watausizisha.
 
Kuna uhusiano wowote kati ya hii issue ya Mbowe na kusuasua kwa vikao vya bunge huko Dodoma? Ya Lema ilianza kama utani lakini sasa naona tatizo kwa serikali. Zama mpya!
 
danganya toto...matahaira bac watamuona shujaa!..kama shujaa mbna alikimbia? Na kaka yake c ndo aljfcha kwny spika!!hahah kama namuona vlee na kibastola chake...nakumbuka zamaaanii ndo ilkua michezo yetu ile dishwaa dishwaadishwaa..yoo

hivi wewe uliandika upuhuzi huu unaakili? kama unaakili umeongwa sh ngap za madafu? acha upumbavu nan anasema mbowe alikimbia kuna police wakukimbiwa bongo mbele ya haki? acha ufala
 
Wanamchelewesha nini? Wamwahishe fasta huko Kisongo.
Huko ndiko wanakostahili kukaa wahalifu.
Viongozi tena watu wazima kabisa wanabehave kama watoto..
Wanategemea huruma ya wananchi! Huu ni upuuzi..wakafie huko gerezani tu!
 
Kweli kazi ya kudai haki siku zote sio ya lelemama, nampongeza kila mmoja aneonyesha ujasiri na kudhubutu, wale wanaobeza juhudi hizi kitabu kipya cha historia ya kupigania uhuru na haki ya raia kitawaweka pembeni.
Heri ni kwake yeye anaesimama nasi ktk kipindi hiki maana atakumbukwa
 
Viongozi wa Chadema wamechanganyikiwa. Nani atawawakilisha wananchi wao bungeni.

Wasubirie 2015 tutawaadhibu kwenye masanduku ya kura.
 
danganya toto...matahaira bac watamuona shujaa!..kama shujaa mbna alikimbia? Na kaka yake c ndo aljfcha kwny spika!!hahah kama namuona vlee na kibastola chake...nakumbuka zamaaanii ndo ilkua michezo yetu ile dishwaa dishwaadishwaa..yoo

hahahah...lol, mbavu sina! Nimecheka sana hasa hiyo pati yamwisho ya dishwaaaa..umenikumbusha mbali sana!
 
wewe mama na hayo mawazo yako mgando yaani hubadiliki huna hata ubinadamu mwenzio anapopata na matatizo sio sehemu ya kufurahia hata kama unatofautiana kwenye mambo fulani! wee cjui vipi
 
Viongozi tena watu wazima kabisa wanabehave kama watoto..
Wanategemea huruma ya wananchi! Huu ni upuuzi..wakafie huko gerezani tu!

msimu huu wananchi wamesema hawadanganyiki tena.
 
Hayo maneno yoooote anaonesha kuwa ni muoga, nenda ukaswekwe ndani, ukitoka huko utarudi na nyimbo mpya, tunaingoja. Hii ya kuonewa tumeizowea.
 
Kamanda Mbowe wewe na Lema ni mashujaa wa sinema za kihindi..
 
capacity ya gereza la arusha, sijui kama linaweza himili, kama wananchi wengi wanaweza kataa dhamana. labda tufanya huu mchezo halafu tuone itakuwaje.
 
Nashauri hawa jamaa wakapimwe akili. Kuna uwezekano mkubwa serikali inakosea kuwapeleka kisongo kumbe wamewehuka.
 
Back
Top Bottom