Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 888
nani kasema lowasa fisadi mkuu una ushahidi???
Ushahidi wa kumwaga mkuu. Tutaziweka hadharani akishashindwa kura na tutawekana sawa na wasaliti waliouza Chadema akina Mbowe. Ndo maana huu uzi upo hapa wa 2011. Usiwe na shaka kabisa!