Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Sisi wapiga kura ambao tulikuwa hatujaamua (Undecided Voters) tumeanza kupata muelekeo!!!
 
rumours are made by haters of lowasa spread by fools and accepted by ------ ...mtoa maada yawezekana ni hater wa lowasa ama in fool anaesambaza hii kitu , msomaji angalia sana usije ukaamini huu upuuzi unless we ni idiot

Huu upuuzi uliletwa siku nyingi hapa JF ukawekwa kwenye jukwaa la udaku.
 

Umetishaaaa
 

The post of 2011 has been recalled in 2015!

Surely, JF is the wind that exposes the chicken's anus!
 
Duh huyu jamaa alifikiri mbali,sasa huu ndyo ukweli maadui wawili wameungana..

Hvi kesho anarudisha fom nec au ndo afya haiko vyema?? Taarifa plz
 
Ivi wako wapi teamlowasa jf.maana wako active wale wangeshakuja kumwaga mitusi hapa.embu tuvute subra wenda watakuja
 

Umekosa mvuto wewe kaa kimya huna jipya.
nyie mnahongwa na CCM ili muonekane hakuna atakaye hama hapa.
 
Magazeti mengine ni kichekesho

Kesho unaweza kusikia from SAUTI HURU kwamba Mama Anne Makinda amefunga ndoa na Mzee Edwin Mtei ikiwa imeletwa na mwandishi wetu

Magazeti haya sijui serikali inayaangilia vipi?

Mkuu kutufe cha Like sijakiona...
 
Duh huyu jamaa alifikiri mbali,sasa huu ndyo ukweli maadui wawili wameungana..

Hvi kesho anarudisha fom nec au ndo afya haiko vyema?? Taarifa plz

Afya sio mzuri bado anamalizia dozi.... Hatutaki Biashara katika siasa Magufuli anatoshaaaa 2015
 
Mleta uzi nickname naomba upate soda kwa mangi nitalipa...khaaaa wewe ni mtabiri wa ajabu like 4 years back leo najionea kwa macho yangu duuuhhh hebu ibueni jamani hizo post za nyuma tujionee vioja....Mungu ibariki Tanzania yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…