Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Hizo story ziko nyingi sana.
At least I know the reality I can stand to speak it.
Ntafute nikupe gazeti lote la kuhama kwa Lowassa na upokelewaji wake
 
kwanini usiweke huo ukweli hapa kama unapingana na mwandishi wa hii thread???
Kwann utafutwe pembeni?? Na tutaamini vipi kama gazeti lako pia sio propaganda???!!
We all need changes lakini kwa mfumo huu BIG NO..
 
Nimejisikia furaha kusoma hii habari na kujua ukweli kuwa Mbowe ndio anaua nguvu ya upinzani kwa kuwalinda na kuwatetea mafisadi. Mzalendo Zitto alikuwa anaoneka tatizo pale CHADEMA, lakini tatizo kubwa la CHADEMA ni Mbowe ameweka tamaa ya pesa mbele na kusahau maadili ya uongozi!
 
Last edited by a moderator:

Tiote upo..??
 
Upo rafiki?
 
Simba mwenda pole...mbowe(yuda).
 
Mwandishi wa thread hii atakuwa anayetaka kuwaambukiza wote wazimu wake! Hataji lini, wapi, kiasi cha pesa na jinsi zilivyolipwa! Watanzania si wajinga kiasi hicho! Akajipange upya na ahusishe vyombo wanavyotumiaga!
 
Huu uchafu hausafishiki.Hili lilisemwa muda mrefu sana lakini wanachadema walikuwa hawaamini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…