Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Tunakushukuru sana mtoa uzi huu.
Kila kitu kiko wazi sasa, ndio maana kashajitangaza atagombea na 2020
 
Mwenyekiti awajibu wanachama wake hili swali.
 
Jamaa ashafanya.ashafanya biashara na chama kinakufa rasmi daadek
 
tuache mambo ya Trump kwa Wamarekani, hivi hii habari iliishaje ishaje..?
 
Makubwa haaya! JF ni komesha, JF inatunza kumbukumbu! ahsante JF kumbe mpango wa EDO na Mr. Eyes ni wa miaka mingi!
 

Mkuu Nickname

Hii taarifa ilipotoka mara ya kwanza wasomaji wengi waliipuuza. Wakaipa majina mabaya. Wasomaji wachache walizingatia. Wakatoa maangalizo. Ambayo yalipuuzwa pia.

Tatizo halikuwa taarifa, wala mtoa taarifa. Tatizo ni sisi Watanzania wenyewe. Proportion kubwa ya Watanzania hata wanaopita humu JF sio watu wa kuchambua na kupembua taarifa kwa uyakinifu. Ndiposa ni rahisi sana kuzolewa na viroja badala ya kutohoa maudhui ya hoja na hojaji.

Faida kubwa tuliyonayo humu JF ni uwepo wa proportion ndogo ya Watanzania wenzetu ambao mboni zao zinaona mengi ambayo wengi hawayaoni. Kwa hekima za wachache hawa, mara zote huwa wanatuasa. Ni vile tu baada ya kutoa maangalizo, hawatulazmishi kufuata maono yao. Hii ndio hulka yao. Hawatumii mabavu kufikisha ujumbe ama wa heri ama wa hatari kadri ya ufahamu wao.

Bila shaka wakati umefika, Watanzania wenzangu tubadili namna tunavyopokea taarifa. Waamini wanafahamu imeandikwa: "yapimeni maandiko". Neno hili linamaanisha uwepo wa vipimo vya kupima maandiko. Swali ni ikiwa Watanzania tunatumia vipimo sahihi kupima relevancy, reliability, validity na credibility hasa ya maandiko. Badala ya kupoteza wasaa kumpima mwandishi. Maana ni wazi haisaidii sana kumpima Mwandishi.
 

Be a candle that disintegrates while letting others get light and See.

Hatuwezi kuyumbishwa na Jamaa wapiga deal
 

Wakati ni Hakimu Mzuri sana. Habari hii iliandikwa March, 2011 lakin Leo hii Ina sound zaid kuliko Siku iliyoandikwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…