Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Ramli ni ya kweli kabisa toka 2011 hadi 2015
Yametokea
Aende zake
 
Sasa ndio muda wa kumkumbuka Slaa

Sasa ndo muda wa kupekua vizuri akaunti za Mbowe na za chama. Si ajabu hata ruzuku yote kaikomba na mawakala tunasikia hawajalipwa! Mbowe kapiga dili la karne na bado wapo watakaomtetea. Tokea 2011 mpaka leo!
 
Wakati tunajiandaa na kampeni Nape alisema Mbowe ameuza CHADEMA kwa Lowassa na ametuuza na wanachama.

Sasa nauliza nilikuwa nangoja kanusho kutoka kwa Mwenyekiti likawa kimya.

Kwa leo uchaguzi umeisha tunaomba jibu.
 
katika uchuguzi kuna vyama vinapata hasara wakati wa kampeni ila mwenyekiti wa chadema amenufaika kwa kuuza chama mbowe kwa lowasa.
pamoja na nguvu ya wanachama wa
chama hicho.
sasa biashara imefanyika tunataka
kodi.
rais magufuli kishatoa notis siku
saba kwa wakwepaji kodi kulipa
 
katika uchuguzi kuna vyama vinapata hasara wakati wa kampeni ila mwenyekiti wa chadema amenufaika kwa kuuza chama mbowe kwa lowasa.
pamoja na nguvu ya wanachama wa
chama hicho.
sasa biashara imefanyika tunataka
kodi.
rais magufuli kishatoa notis siku
saba kwa wakwepaji kodi kulipa

Peleka ujinga wako huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom