Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Na kweli baadaye wakaanzisha bendi ya kuzungusha mikono. Nani mkweli gazeti au waliolipinga?
 
Habari za propaganda, zisizoenda shule, zilizoandikwa na wehu na zinazoaminika na wenye kufanana na walioziandika. Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Poleni na aibu kwa CCM - chama cha manyang'au.
 
Habari za propaganda, zisizoenda shule, zilizoandikwa na wehu na zinazoaminika na wenye kufanana na walioziandika. Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Poleni na aibu kwa CCM - chama cha manyang'au.
Sasa mkuu hii iliandikwa 2011 na yakatimia 2015 unabisha nini? Hii haikuwa propaganda bali taarifa au progress report. Sisi tulienda kucheki reference tu.
 
Habari za propaganda, zisizoenda shule, zilizoandikwa na wehu na zinazoaminika na wenye kufanana na walioziandika. Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Poleni na aibu kwa CCM - chama cha manyang'au.
Usiwe unakurupuka kama unatoka chooni. Habari hii iliandikwa miaka michache iliyopita, na mlengwa kweli kasafishwa na hao waliomchafua na wakampa hadi nafasi ya juu kabisa kwenye chama chao na hadi sasa anategemewa na kuaminika kwa ushauri. Na wote waliomponda ndio waliozungusha mikono kishenzi!
 
Kuna wana chadema wa awali walioupinga Uzi mwaka 2011 sasa hivi kwa aibu wamebadili ID zao.
 
Kipindi hicho JF kweli ilikuwa na great thinkers, hata ukitazama watu walivyoreact kwenye uzi ni hoja tupu.
 
Nani sasa alikuwa karibu na fisadi....zitto au Mbowe
 
Mkuu bado upo JF? Hakika una madini ya hatari.....ur truly great thinker
 
Mkuu bado una mtazamo huu?
 
kwanza sauti huru ndio gazeti gani, lina intelligency service gani kuzidi mwanahalisi na raia mwema mpaka liwe la kwanza kuibua ishue kama hiyo? Hakuna kitu hapo!, hayo ni mambo ya kundi fulani la ccm linalotaka kummaliza mzee wa monduli na chadema
Bado upo JF? Je bado una mtazamo huu huu
 
Truly great thinker
 
Bado una fikra hizi hizi or?
 
Watu walisema toka 2011 wengine wakabisha mwishoe 2015 yakatimia aibu yao aibu yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…