ata tetes za edo kuhamia chadema zilianza hivihivi watu wakatokwa na povu
View attachment 300610
Mtu na baba mkwe ake walikula mkwanja du, ni hatari
Chadema wote wapiga dili, kama wamechangamkia pesa ya Lowasa wote ss wanasema Lowasa si fisadi hadi Sumaye na yy anasema hivo, ila kwa kweli wanawaona watz ni mbumbumbu sana na kwa kuwa watu wengi hawatunzi kumbukumbu za viongozi wetu waloamia chadema na waliomo chadema, Hasa Sumaye na Mbowe
Watu wanajiendekeza tu kwani unafikiri wamesahau matusi waliyomwagia Lowassa akiwa CCM? Hivi ndani ya miezi 2 utawezaje kupiga U turn katika msimamo wako kwa dhati? Kwa Mbowe, Msigwa na Lissu ni suala la pesa hili liko wazi. Lakini kwa upande wa washabiki ni kwamba wameamua kujivua ufahamu na kuingizwa kichakani na Mbowe.
Chadema wote wapiga dili, kama wamechangamkia pesa ya Lowasa wote ss wanasema Lowasa si fisadi hadi Sumaye na yy anasema hivo, ila kwa kweli wanawaona watz ni mbumbumbu sana na kwa kuwa watu wengi hawatunzi kumbukumbu za viongozi wetu waloamia chadema na waliomo chadema, Hasa Sumaye na Mbowe
mbowe kauza chama sasa kaamnza kuhamisha pesa zake ili akishindwa tu kwenye uchaguzi atimuke na familia yake acheni kuifatamkumbo vijana wenzangu nbowe hana nia nzuri na nchi yetu hii iliyojaa amani
Mbowe ni msaka pesa tu, sijawahi kumwamini kwa misimamo yake, isitoshe anajua sana siasa za Sanaa.
Anachokiongea na anachomaanisha tofauti.
Habari hii ina ukweli gani?au kina magamba wanajaribu janja hii kudhohofisha kasi ya watu makini kwenye mapambano.Lakini pia mbona issue ya urais 2015 inaumiza vichwa vya kina magamba wakati tangu wamchague rais hawana hata miaka miwili? wamegundua nini kwa bosi wao?:violin:
Atajuta baada ya tar 25