Ndugu yangu Freeman Aikael Mbowe nakuuliza seal hili ili nipate kujua kama wewe ni mwanasiasa au ni mwanasiabiashara kwa maana napata shaka hasa kichwani mwako unalitakia nin taifa hili.
Hii tabia yako ya kuuza uza nadhani ingeishia pale billcanas kwenye kuuza pombe tu na sio chama cha CHADEMA.
Hao wafanyabiashara watano tunaomba utuelezee watazirudishaje fedha zao kama sio kuwaumiza watanzania kwa mikataba uchwara.?
Unaonekana una tamaa ,uroho wa madaraka na fedha kiasi kwamba umekua mrahisi wa kuvunja imani, itikadi, na msimamo wa CHADEMA mbele ya pesa za mafisadi uliotumia miaka 8 kuwachafua.
Wewe ni mtu namna gani haufai kua kiongozi wa watu hata kidogo .