Mwl. Ambogo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 201
- 84
Hivi mkuu, wapi nimesema chagua CCM? Mi siko huko na sikuandika kuhusu uchaguzi. Tunazungumzia biashara ya Mbowe kumwuzia Lowassa chama. Hii iliandikwa 2011 hatukumwamini sasa biashara imekamilika. Hivi mbona siku hizi Mbowe haonekani tena? Wala kuongea haongei?
Mkuu kama bado unashabikia chama hiki ujue hakuna chana tena. Wapowapo tu wanasubiri Oktoba wasambaratike!
We kakwambia nani kuwa watasambaratika
Naamini ujio wa Lowassa nikuimaliza chadema. Kwahilo wanachadema hatutoliona kwa sasa ila tutalielewa zaidi baada ya uchaguzi kupita endapo tutashindwa..!!!
Mimi sioni haja ya kuwafuatilia tena, imani nao sina kabisawanatakulazimisha moja kuwa mbili.....na tunashukuru vile wametufumbua macho kwamba hawana maana
Mnajaribu kumpamba Zitto aonekane malaika???? upuuzi mtupu leteni habari za maana watu tujadili, kutuletea habari kama japo mtu anatumia demokrasia, lakini ikumbukwe kuwa ni uharifu wa rasilimali, muda na akili na utayari wa watu katika kushiriki kuchangia mambo.....mtatumia misuli sana kumpamba Zitto bila mafanikio mwenzenu kila kukica anaoga matope kwa hiari yake.
Kuhusu CDM NA mbowe HOJA ZILIZOTUMIKA NI UPUUZI MTUPU WAANDIKISHIANE HALAFU WAKIGEUKIANA WAKSHITAKIANE WAPI LABDA KAMA MNGESEMA WAMEENDA KWA MGANGA KUNCHANJIANA DAMU (KULA YAMINI)
Mbowe wanachama wako watakupiga mawe tar 25 oct kwa kumpoteza Dr Slaa.
Mkuu Mungu akitujalia uzima tutafutana humu. Unafikiri sasa hivi kuna chama hapo. Mara ya mwisho ulimwona lini Mbowe akiwa jukwaani na Lowassa?
Haya kaa utafakari!
Mkuu hata mimi co mwana chama wa chama chochote cha siasa hapa tz lakn nmeamua tu kuwapa kura yangu no matter what will happen
Lakini kweli ise alivyoingia kama kimbunga edo haiwezekan,kwamba kusiwe kununuliwa
km mbowe kauza chama basi amefanya dili la ukweli, mana unauza chama then kinaingia ikulu, inabidi tumpongeze kwa kukiuza muda na wkt muafaka
Ila wameingia wenyewe mtego huu kwa tamaa zao. Hakuna aliyewalazimisha!
slaa kajipoteza mwenyewe!!