Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa


Haijajanushwa na aliyeiuza. Nyie (sijui akina nani) hamuwezi kujua kitu. Kuna IDs zinajulikana humu ya wahusika zingekuwa zineshatoa jibu. Ila wamekaa kimya.
 
kati ya watu muhimu wanaotakiwa kuinga katika historia ya siasa za mageuzi nchini vizazi na vizazi basi Mbowe anastahili hasa kutokana na upeo na ushawishi mkubwa alionao katika kusoma mahitaji ya watz na ndoto waliyonayo katika kuyafikia mabadiliko
 
kikubwa mabadiliko maswala yakuuziana wambie TRA kodi wamepewa?
 
Sijui Dr Slaa ataongea nini kesho lakini kama ni Dr Slaa ninayemjua basi Mbowe atakuwa anahaha sana!
 
Sijui Dr Slaa ataongea nini kesho lakini kama ni Dr Slaa ninayemjua basi Mbowe atakuwa anahaha sana!

Hakuna kitu kigeni atakacho ongea Dr Slaa. Kama ni ufisadi mpaka kwenye kanga za wamama zimeandikwa, kama ni habari ya Mbowe kupokea fedha toka kwa Lowassa hizo ni habari za uongo. Hakuna sheria ya kutumikia chama kimoja na ufie hapo. Slaa katumikia chama kwa kipindi chake tunashukuru sasa wengine wanachukua nafasi ya kuendeleza gurudumu. Kumbuka lengo ni moja na watu ni tofauti.
 
Chadema Ni Chama Kikubwa Sana Tukisema Tuwe Tunajibu Kila Upuuzi Unaonezwa Hum Tunajishushia Heshma Kwa Mwenye Akili Anang'amua Mwenyewe

Mbona mnaongea mambo mengi tu, sasa kujibu Haya yanayosemwa kuhusu nyinyi mnakosaje muda? Ni kwamba mnawadharau watanzania kwa kuleta kiburi au ndio miongoni mwa wanamtandao wa ushindi?
 
Dr Slaa keshaanika yote. Sasa atakayebisha ameamua kujivua ufahamu. Alafu mbona humu hawatii mguu watetezi wa Mbowe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…