Mbowe afuta UKUTA, aibukia taifa

kitendo cha mbowe kukaa karibu na mwigulu na wakapiga story ni cha kupongzwa. hasa kwa siku za hivi karibuni mvutano uliokuwepo kati ya upinzani na vyombo vya dola ambavyo waziri wake ni mwigulu. ni ishara tosha kuwa hayo yamepita, tunasonga mbele kujenga inch yetu. Safi sana mh Mbowe.
 
Umemfananisha, Mbowe hawezi kukaa karibu na Mwigulu! Khaaaaah, haiwezekani mwenyekiti akalamba matapishi yake!
Wewe ni kama mimi...nilipowaona kwenye TV uwanja wa Taifa sikuamini nikazima TV kwanza.
 
Umemfananisha, Mbowe hawezi kukaa karibu na Mwigulu! Khaaaaah, haiwezekani mwenyekiti akalamba matapishi yake!
Ndio keshamba hivyo kama alivyobadili gia angani na kumwita lowassa mungwana badala ya fisadi.
 
Hapa namuunga mkono mleta mada kwa asilimia 100 %, huyu mwigulu ndio aliemvalisha mbwa bendera ya chadema, huyu ndio aliesoma chadema Arusha wamejilipua, huyu ndio aliekuwa anawadhalilisha wabunge wa Chadema bungeni! Siasa tunakubali sio uadui ila ukidhalilishwa nawe unaendelea kukaa na kuongea na aliekudhalilisha kana kwamba hamna kilichotokea Unataka tuamini nini? Ni ujinga uliopitiliza! Sijawahi kumkashfu Mbowe ila kama kuna ukweli basi Mbowe kufikia ukomo wa kukiendesha chama! Na lazima tukubali ukweli huu!
 
Mbowe na maalim seif...kwenye mpira wanashikana mikono ila kwemye misiba hawashikani mikono..Siasa ya Tanzania ni zaidi ya uijuavyo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo nimemuona kwa macho yangu, akiwa na mwingulu wakishangilia timu yao ya CCM Dah kweli siasa hizi, pasua kichwa.
Haya bwana ila sisi hatudanganyiki na hatufungiki kirahisi. Team profesa
Mbona we una akili za zumbu kuku!Juzi tumeona mechi ya wabunge mashabiki wa yanga na simba tukaona wabunge wa ccm wakikipiga yanga na waupinzani wakikipiga simba
 
Vipi kuhusu kitendo cha mbowe kuwapiga marufuku wabunge wa ukawa kuwajongea wale wa ccm,na kuwapiga marufuku mameya wa chadema kuhudhuria hafla atakazokuwepo magufuli,tafiti yako inasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…