Mbowe afuta UKUTA, aibukia taifa

Leo nimemuona kwa macho yangu, akiwa na mwingulu wakishangilia timu yao ya CCM Dah kweli siasa hizi, pasua kichwa.
Haya bwana ila sisi hatudanganyiki na hatufungiki kirahisi. Team profesa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] wamatopeni
 
yaani mpaka kwenye michezo mnaleta siasa, sijui nani katuroga
 
Leo nimemuona kwa macho yangu, akiwa na mwingulu wakishangilia timu yao ya CCM Dah kweli siasa hizi, pasua kichwa.
Haya bwana ila sisi hatudanganyiki na hatufungiki kirahisi. Team profesa
Shauri zenu mnaotoana macho mnapokuwa kitaa,wenzenu hata wakipigana kavukavu jukwaani kitaa wanakuwa ndugu mmoja wanakula,kunywa na kucheka pamoja.
 
Na upande wa pili wakijibu mashambulizi mwenyeki wenu wa chama anabaki analalamika majukwaani kuomba mitandao ifungwe
 
Una maana yuko karibu na Malyamungu basi anachota siri ya wataouawa mwezi huu
 
Nakumbuka Magufuli alisema amepata muuijiza wa kusalimiana na Lowassa, leo tena mwigulu kapata muujiza muulizeni leo atalala fofofo
 
Hatufuati CDM, tunafuata philosophy ya CDM
 

Hivi kuna uhusiano wowote kati ya uzi huu na nyumbu??? Maana imewekwa picha ya nyumbu wakivuka mto [emoji101]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…