Mbowe afuta UKUTA, aibukia taifa

Wewe ulitaka iweje mleta mada,ulitaka maandamano au ulitaka iweje?.....maana lengo la uzi wako halieleweki...na je kwenda kuangalia mpira ni dhambi....kama mwenyekitu ametamka walichokubaliana wewe inakuuuma nin?

Nilitegemea wana CDM ndio walalamike sasa upo nje ya cdm nin kinakuuma?

Acha unafiki wa kike!!
 
kafuate mkumbo huko ccm ya chadema hayakuhusu,wacha tufanye yetu
 

Yaani wewe unafikiri siasa ni kama kwenda msalani... Unafanya hicho hicho kilichokupeleka pale kwa stahili ile ile..!!
 
Nonsense!!! Una Elimu ya darasa la ngap wewe??… nijibu then ntakueleza kitu??
 
kwani wwe ulikua tayari kuandamana...kama hukua tayari utafiti una ukweli
 
Hata mwenyekiti wako humjui mpaka unasema kafananishwa pole sana
 
Sasa kwa yale macho anaangalia mpiraa au anamuangalia mwigulu.
 
Huku akionekana mwenye uso wa Furaha. Mhe Mbowe tumemshuhudia akishangilia bao na mkono na mhe Mwigulu Nchemba.
 
Leo nimemuona kwa macho yangu, akiwa na mwingulu wakishangilia timu yao ya CCM Dah kweli siasa hizi, pasua kichwa.
Haya bwana ila sisi hatudanganyiki na hatufungiki kirahisi. Team profesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…