Sasa wewe siasa unazichukulia uadui ?! Hii ni tabu vyama tawala kuvichukulia vyama pinzani kama maadui! !
Kuna jambo hufanyika kwa ajili ya kutuma ujumbe bro. Hii bongo ya wote tu.Umewasahu waliosusia futari ya waziri mkuu kisa Naibu spika kaalikwa
Hajitambui huyo, anachukulia siasa kama hesabu kwamba huwezi igawanya number kwa zeroKuna jambo hufanyika kwa ajili ya kutuma ujumbe bro. Hii bongo ya wote tu.
Hueleweki, sitaki natakakiukweli nimewaunga sana mkono chadema mpka sasa kwa upuuz wa kuniangaisha akili yangu kila mwez bs nimeshawachoka
Ile sheria ya kumuudhi mtu inafanyakazi kwa mtu mmoja tu!Hivi Mods hii ni sahihi Mbowe kuitwa msanii?
hata mimi nimemwona mbowe na mwigule tenaUmemfananisha, Mbowe hawezi kukaa karibu na Mwigulu! Khaaaaah, haiwezekani mwenyekiti akalamba matapishi yake!