Mbosso kwenye upande wa Live Performance ni next level

Japo niliangalia kwa TV ila ilikuwa [emoji91][emoji91]sema nilitegemea ushindi Kwa Queen matokea yakaenda kwa kagame[emoji26]
 
Kwa maoni yangu, Nadhani ungesema hakuna wa kumfkia kutoka WCB ila sio Tanzania, kwa Tanzania sidhani kama ni sahihi maana kuna wasanii Live wako vizuri zaidi yake, all in all Alijitahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…