Mbongo ajigeuza na kuwa Mzungu......

Uzungu sio sura!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kama ni Kweli kafanya hivyo, Ni lazima ubongo wake hauko sawa

Na Tuombe sana Mungu aturehemu na LAANA Ya aina Hii
 
Mzungu poli sio,huo ndio uhuru binafsi ingawa una matatizo yake
 
hapa ni george and dragon?
 
Anapendeza zaidi kwa mbali.. Ukim "zoom" mmmh.. ila Mashallah kajua kuviweka na vikakaa..
 

Mkuu anapatikana wapi huyu aiseee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…