Mbona Zambia imekuwa inaleta sana chokochoko kwa Tanzania kama Kenya hapo zamani? Kuna nini Nyuma ya Pazia?

Mkuu wangu umeamua kutaka kuufunga mjadala kwa kombora la lawama hizo ?!!!

Hivi umeyaona yale majiko ya mkaa wanayouza wachina ?!!!

Bei ya jiko ni shilingi 12,000....unaweza kutumia gunia la mkaa mwaka mzima....

Unadhani mpaka kuruhusiwa kuyauza haitokuwa ni mbinu ya serikali kupunguza matumizi ya mkaa na ukataji miti ?!!!

Hivyohivyo ujue kuwa sera ya kuhamisha wafugaji ngorongoro imelenga kuyatunza na kuyalinda mazingira....Ngorongoro ya miaka 30 iliyopita si ya leo....mkuu idadi ya watu wanaoongezeka kila uchao haikutishi ?!!!
Katiba ya JMT ilindwe na kuheshimiwa.

Vijiji vya ujamaa ilikuwa against Haki za Binadamu mjue
 
Wakuu Kwa miaka ya hivi karibuni Nchi ya Zambia Imekuwa Inaleta Sana chokochoko na usumbufu kwenye issue ya kufanya biashara na Tanzania..

Mara Wazuie Malori yetu,Mara waseme yamebeba magogonyao,mara Waseme Mizigo Iishie Mpakani Madereva Wao Waendeshe,mara Waseme Uviko 19 nk nk.

Upuuzi huu wanafanya Zambia ndio Kenya walikuwa wanafanya miaka ya nyuma dhidi ya Tanzania, Wakati mwingine Huwa wanakata umeme Kwa kusudi bila taarifa harafu wanakuja kusema eti ooh Kuna matengenezo utadhani umeme wanatupa Msaada ilhali tunanunua.

Hawa Zambia wamekuwa wanahujimu sana Tanzania hasa kwenye mpaka wa Tunduma na tunakoelekea Watatusumbua zaidi maana Sasa wanaelekeza Nguvu kwenye bandari za Angola na Msumbiji..

Wiki kadhaa zilizopita walizua taharuki Kwa kisingizio Cha kusema eti Scanner imeharibika na ukifuatilia ni hujuma,wivu na husda Wala hamna kitu kingine..

Sasa hivi wamezuia mahindi ya wafanyabiashara wa Tanzania waliyonunua huko huko kwao Zambia yasiuzwe Nje ya Nchi..

Watanzania walipewa ruhusa ya kununua na kuuza kokote Sasa wamekamata Malori Wakija na visingizio vya kusema wauze ndani ya Nchi Yao..

My Take
Serikali anzeni kutafuta njia nzuri ya kuifikia DRC bila Kupitia Zambia,Hawa watu Kwa Sasa Wana wivu uliopitiliza na unaotoshia Ustawi wa biashara na Uchumi Wetu..

Zambia ni masikini kuliko tz, hawana bandari, wanatutegemea kwenye tazama na tazara. imefika wakati haya mambo yawekwe pembeni, tuishi kwa kuheshimiana, tuone kama wataishi bila bandari yetu. tufunge tu mpaka siku moja tuone inakuwaje. wajinga sana wazambia na wana roho mbaya mno. kwa waliopita maeneo hayo wanajua ninachosema. wamejaa wivu wa maendeleo kwa watanzania, wao ni wavivu hata ukienda Lusaka maduka mengi ni ya wabongo, wao hamna kitu.
 
Wana options nyingi.sana Angola na Mozambique na Namibia so usikariri..

Saizi wataacha au kupunguza kupitisha mafuta Dar maana wanajenga mabomba kutoka Angola na Namibia Hadi Zambia.
 
Tutawasema Wakenya, Wazambia, Wanyarwanda, nk! Lakini kwa namna moja au nyingine, wako sahihi.

Huwezi kuifanya nchi ya mwenzako kuwa kama shamba la bibi. Vigezo na masharti lazima vizingatiwe. Hata Tanzania tunatakiwa kujifunza kuwa na uchungu na mali zetu.

Siyo kuwaachia tu wageni kuingia mpaka mashambani na kwenda kuwaghiribu wakulima kuuza mazao yao kwa bei ya chini, halafu wanaenda kwao na kuuza kwa bei ya juu na kupata faida maradufu. Vigezo na masharti vizingatiwe.
Hivi kabla ya kuropoka hapa ulishawahi kufanya biashara za uchuuzi wa mazao?

Biashara ya mazao ni makubaliano kati ya mkulima na mnunuzi, neno kuwaghilibu halipo kwenye biashara, kuna bargaining tu, nakupa bei yangu ambayo naona na mimi nikienda kuuza sokoni itanilipa, ukikubali ...tunafanya biashara.

Watu wenye roho mbaya hawataki wafanyabiashara wapate faida hawajui kuwa mtu ukitoa mamilioni yako kununua hayo mahindi kuna changamoto za kushuka kwa bei ya sokoni , kitu kinachoweza kukupelekea kuua mtaji wako kabisa. Hao wafanyabiashara wamekwama huko zambia mwezi wa nne sasa...unadhani bei waliyonunulia mahindi na waliyotegemea kuja kuuza itakuwa bado vilevile?

Vp costs wanazotumia huko zambia kwa miezi minne analipa nani?

Biashara haiwezi kuingiliwa na serikali. Serikali isubiri kukusanya kodi zao tu
 
Wana options nyingi.sana Angola na Mozambique na Namibia so usikariri..

Saizi wataacha au kupunguza kupitisha mafuta Dar maana wanajenga mabomba kutoka Angola na Namibia Hadi Zambia.
Mkuu unaielewa jiografia vizuri? Vp hali ya kiusalama kwa wafanyabiashara kupitisha mizigo yao katika nchi zenye machafuko ya makundi ya waasi?
 
Wanachotaka hao Wazambia ni win win situation bila shaka. Na siyo kuendelea kugeuzwa kuwa shamba la bibi. Hivyo muafaka ni lazima upatikane. No way out katika hilo.
Kwani Tanzania tunawakandamiza wapi? Win win ipi utapata wakati biashara ya logistics imeshikiliwa na Watzn Afrika Mashariki na Kati yote?

Kwanza hata Sasa hapo Zambia Kuna Kampuni 2 za Dhando na Usangu Logistics zilikuwa Mbeya na Dar zote zimehamiahia Makao Makuu Zambia walau kuwasaidia ila.walikiwa.wamelala na ugalinwa.bure wa Kaunda enzi za copper Sasa saizi imewakata.
 
Mkuu unaielewa jiografia vizuri? Vp hali ya kiusalama kwa wafanyabiashara kupitisha mizigo yao katika nchi zenye machafuko ya makundi ya waasi?
Naielewa kuliko wewe,njia ya Mpanda-Karema Port Hadi Kalemie hakuna shida za kiusalama na tunaweza Jenga Barabara Kwa EPC kutoka Kalemie Hadi Lubumbashi tuka skip njia ya Zambia na maisha yakaendelea..

Usalama tunaweza guarantee Kwa makubaliano na DRC wenyewe pia.
Screenshot_20230523-215151_1.jpg
 
Wana options nyingi.sana Angola na Mozambique na Namibia so usikariri..

Saizi wataacha au kupunguza kupitisha mafuta Dar maana wanajenga mabomba kutoka Angola na Namibia Hadi Zambia.
mozambique usihesabu, magaidi wameharibu kila kitu kule. hapaaminiki kupitisha mizigo beira. biashara nyingi kwa sasa zinatoka far east ambako kupita kwenda bahari ya atlantic ni garama kubwa, hawawezi. wanaweza kukwepa mafuta, ila bandari yetu ni kutu cha lazima kwao. hakuna biashara zambia bila Tanzania, kama hujui hilo. sasa kama wameshaanza kujenga bomba toka angola sisi tunasubiri nini kuanza kutafuta option za kuwanyoosha ili waendelee kuwa watumwa wetu pasi na wao kutufanyia vurugu?
 
S
Naielewa kuliko wewe,njia ya Mpanda-Karema Port Hadi Kalemie hakuna shida za kiusalama na tunaweza Jenga Barabara Kwa EPC kutoka Kalemie Hadi Lubumbashi tuka skip njia ya Zambia na maisha yakaendelea..

Usalama tunaweza guarantee Kwa makubaliano na DRC wenyewe pia.
Naongelea kuhusu kauli yako uliposema wao zambia wanaweza kutumia ports za namibia, Angola na Mozambique badala ya hzi ports za kwetu Tz!!
 
mozambique usihesabu, magaidi wameharibu kila kitu kule. hapaaminiki kupitisha mizigo beira. biashara nyingi kwa sasa zinatoka far east ambako kupita kwenda bahari ya atlantic ni garama kubwa, hawawezi. wanaweza kukwepa mafuta, ila bandari yetu ni kutu cha lazima kwao. hakuna biashara zambia bila Tanzania, kama hujui hilo. sasa kama wameshaanza kujenga bomba toka angola sisi tunasubiri nini kuanza kutafuta option za kuwanyoosha ili waendelee kuwa watumwa wetu pasi na wao kutufanyia vurugu?
Uliwahi wasikia Magaida Beira Port?
 
Njia ya kupunguza utegemezi wa Zambia ni simple tuu mbona,

Tujenge Barabara na reli Hadi Bandari ya Karema na Kabwe/Kipili ,then tuweke meli kubwa kati ya Bandari za Karema au Kabwe/Kipili(Tanzania) na Kalemie na Moba DRC..

Then Barabara kutoka hapo Kalemie au Moba inaambaa na Ziwa Hadi mpaka wa Zambia inafika Lubumbashi kama inavyoonekana kwenye ramani hapa 👇
Screenshot_20230523-215151_1.jpg
dr_congo_map_1.jpg
 
Uliwahi wasikia Magaida Beira Port?
beira ni mbali sana mzee kwa zambia, na hata malawi. ingekuwa hivyo wangeshatuhama kitambo. it is much cheaper for zambia to use Port elizabeth or other south african ports than Mozambican. na south kwao bado mbali kwasababu watapita nchi nyengine ya zimbabwe. hao ni watumwa wetu hatujaamua tu kuwanyoosha.
 
Naielewa kuliko wewe,njia ya Mpanda-Karema Port Hadi Kalemie hakuna shida za kiusalama na tunaweza Jenga Barabara Kwa EPC kutoka Kalemie Hadi Lubumbashi tuka skip njia ya Zambia na maisha yakaendelea..

Usalama tunaweza guarantee Kwa makubaliano na DRC wenyewe pia.View attachment 2632776
Barabara ya kalemie to lubumbashi imeanza ujenzi
Njia ya kupunguza utegemezi wa Zambia ni simple tuu mbona,

Tujenge Barabara na reli Hadi Bandari ya Karema na Kabwe/Kipili ,then tuweke meli kubwa kati ya Bandari za Karema au Kabwe/Kipili(Tanzania) na Kalemie na Moba DRC..

Then Barabara kutoka hapo Kalemie au Moba inaambaa na Ziwa Hadi mpaka wa Zambia inafika Lubumbashi kama inavyoonekana kwenye ramani hapa 👇View attachment 2632781View attachment 2632782
Kalemie to lubumbashi nadhani wameanza ujenzi
 
kinachotakiwa, tunatakiwa kujenga bandari hata zaidi ya moja, tena kubwa, upande huu wa ziwa Tanganyika tukitazamana na congo, ili congo nao upande ule wajenge bandari. ziwa Tanganyika lina kina kirefu tunaweza kutumia hata meli kubwa tu. pia tutumie njia za burundi direct to congo bila kupitia rwanda, na wakati upande mwa juu tunapita pia rwanda. ili rwanda wakileta za kuleta tunapita burundi kwenda congo and vise versa, na wakati huohuo bandari zetu za ziwa Tanganyika zinaendelea kusupply mizigo congo pale katikati.
 
Back
Top Bottom