mbona wengi wana pasport kulikoni!!!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mbona wengi wana pasport kulikoni!!!?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ngongoseke, Jul 31, 2012.

 1. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hivi umeshawahi kufatilia ishu hii watoto wakike wengi wa Tz wana Pass zakusafiria kuliko vidume kulikoni? Kama hujui fanya uchunguzi utajua!
   
 2. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  wana ndoto za kusafiri. Mia
   
 3. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Figga vidume hawana ndoto?
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Majority out of them , hawazigharamii wenyewe!
  Ni inatokea sana vidume kuwakatia manzi wao passport wakati yeye hana !
   
 5. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Nitakupeleka Canada/America mpenzi eeh. Wakishaambiwa hivyo wanatoa mzigo then wanabaki na passport.
   
 6. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu totoz nyingi zina vibuzi ambavyo vinawasafirishaga nchi za nje
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1::biggrin1: ni kweli wengine wanatapeliwa kijinga anahaidiwa safari anaingia mkenge
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hii ndio kwanza naisikia leo, ngoja nifuatilie.
   
Loading...